Wanaume wenye Upara ni hatari kitandani!

Wanaume wenye Upara ni hatari kitandani!

Joseverest hunter umekumbukwa huku kamanda watu wenye upara.
0a0a3aacd61785e6cac8f22c79cd13e0.jpg
 
Tuhak
Naona umeamua kuvuta kamba upande wako! Kuna tafiti nyingine humu ilisema WENYE VITAMBI ni nux, kwa hiyo mwenye kitambi na upara atakuwa balaa kwa kina dada!
Sina kitambi na wala sina upara, gemu yangu si haba!
Tuhakukishie hapa
 
mi nnao ila napenda sanaa kupiga kule kwingine...the other way round ila kwa wanawake tuu sio wanaume.
 
WANAUME-Wenye-Upara-ni-Hatari-Kitandani-720x340.jpg


UTAFITI ULIOFANYWA MWAKA 1960 NA DAKTARI WA CHUO KIKUU CHA YALE DR JAMES HAMILITON INAONYESHA KWAMBA KUNA UHUSIANO MKUBWA KATI YA USAWA WA HOMONI YA TESTOSTERONE KWA MWANAUME NA UPARA!

WANAUME WENYE KIPARA WANA IDADI YA JUU YA HOMONI YA TESTOSTERONE HIVYO WANAKUWA NA MISULI ZAIDI NA HIVYO KUFANYA WAWE NA HAMU NA NGUVU ZAIDI ZA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA.

KUWA AU KUTOKUWA NA UPARA HUTEGEMEA IDADI YA TESTOSTERONE ILIYO MWILINI AMBAPO NDIYO HUCHANGIA UWEZO WA MWANAUME KITANDANI.

UKWELI NI KUWA NI IDADI NYINGI YA HOMONI ZA TESTOSTERONE NDIYO INACHANGIA KUWA NA UPARA!

MHIMU: HOMONI YA ‘TESTOSTERONE’ NI HOMONI INAZOFANYA MWANAUME KUWA NA HAMU NA UWEZO WA KUFANYA MAPENZI.
 
Back
Top Bottom