Wanaume wenye Ndoa

Wanaume wenye Ndoa

Nilishasema hiviiii, wanaume unapotaka kuoa, oa anaekupendeza rohoni. Sio unaoa Irregular Shape kisa tabia halafu kumbe ni muumini mzuri tu wa Kyura uanze kumtesa mtoto wa watu.
 
Si kila chaguo huwa tunafanikiwa kuwa nalo. Naweza nisifke bei kwa muda flani nikaoa niliyefika bei harafu uchumi ukawa good hivyo yule wa ndoto zangu nikamfanya mchepuko. Kwa hali hiyo mchepuko utakuwa na nafasi kubwa moyoni ila mother house anakuwa kipaumbele cha kwanza tu katika kuwajibika kwangu. Sema kinachotusaidia ni ile hali ya wanawake kutupima upendo kupitia kuwajibika kwetu hivyo na sisi tunajifichia katika mzani huo. Ndo unasikia namuuliza. " Umekoswa nini wewe?" Nae kwa kuwa kuhudumiwa ndo kipimio chake kichwa kinavimba
 
Sasa unakuta wife kajifungua mtoto wa Tatu au wa pili bado wa kwanza ni mdogo pengine ana 4 yrs mwingne 3 yrs kila mda wife yuko benet na watoto kuwaangalia kuwahudumia huyu analia yule analia huyu anataka chakula mwngne pia anataka usiku bado akishtuka ucngzin analia sasa wife utamgusa saa ngap maana had unamuhurumia anavyowajibika bado tena ukimpiga game ndo analegea kabsa inabd ujiongeze kidume kuangalia wap unaeza tuliza mshindo kidogo then mambo yaendelee.
Ila chepuka unavyoweza ila usizae nnje maana familia itapitia migogoro
 
Pia huwa wanasema kwenye kuoa ndipo huwa wanatumia akili nyingi sana na hawaingii mkenge. Ila cha ajabu ndio wanaongoza kwa kulia lia humu ndani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wanajitutumua tu ila wanaugulia
 
Sasa unakuta wife kajifungua mtoto wa Tatu au wa pili bado wa kwanza ni mdogo pengine ana 4 yrs mwingne 3 yrs kila mda wife yuko benet na watoto kuwaangalia kuwahudumia huyu analia yule analia huyu anataka chakula mwngne pia anataka usiku bado akishtuka ucngzin analia sasa wife utamgusa saa ngap maana had unamuhurumia anavyowajibika bado tena ukimpiga game ndo analegea kabsa inabd ujiongeze kidume kuangalia wap unaeza tuliza mshindo kidogo then mambo yaendelee.
Ila chepuka unavyoweza ila usizae nnje maana familia itapitia migogoro
Yaani mimi nikajua utasema mwanaume atafute namna gani ya kumsaidia mke wake asielemewe na hayo majukumu yanayomfanya achoke kumbe ndiyo umeandika hii vumbi hapa?? Haki wanaume wengi wa bongo mbingu mtaichungulia tu kwa mbali ileeeee!!
 
Upendo haugawanyiki.
kwenye michepuko, watu wanaendeshwa na tamaa ya mwili.

Kumbuka, Kila mtu ana tamaa, tofauti iko hapa;
Unachokipalilia zaidi ndio kinaota na kustawi.

Ukipalilia tamaa, hadi unarudi kaburini hutakaa ushibe
Ukipalilia kujuzuia 'Self control' utaweza kujitawala.

Mtu mwerevu ni yule anayejua kuna maisha zaidi ya tamaa ya Pombe, Wanawake na pesa.
Kwa maana ukishavipata vyote, utahamishia satisfaction yako kwenye aina na idadi ambavyo havikomi.

Hakuna mtu anayezaliwa na kilema cha tamaa, bali tunazipalilia na kuziabudu wenyewe
"Angalia sana unachokipa kipaumbele maana mwishowe hicho kitu ndio kinakutawala"

To every one of us; You are a product of your thoughts, blame us not but what you feed your mind.
I mean blame you for you.
Wenye hii hii akili mpo wachache
 
Hamna anaeumia wala, ila tunaoshangaa tupo wengi. Its not a big deal honey!
If it isn't a big deal then you aren't supposed to be surprised!!

Tuachane na hayo hivi ni nani huyo anayekuficha siku hizi??
 
If it isn't a big deal then you aren't supposed to be surprised!!

Tuachane na hayo hivi ni nani huyo anayekuficha siku hizi??
🤣🤣🤣🤣🤣 mihangaiko tu my dear...my time is getting tighter japo namiss kuwepo humu sana.
 
Igombe fisherman Umejitahidi sana kuwa mkweli, huu ni ukweli usiosemwa popote kwasababu watu wanapenda kuonekana perfect na machaguo yao kumbe uhalisia sivyo.

Wanawake wengi wa kiafrica tunaolewa kwa sababu mbalimbali na si kwa sababu tunapendwa, muda mwingine mwanaume anamuoa huyu sababu anafaa na si kwasababu anampenda, we should know the difference although kuna a very thin line kati ya kupendwa na kuonekana unafaa.

Mkuu ulivyosema “kukoswa” lazima utakuwa shemeji yangu tu.
 
Back
Top Bottom