Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Yeap
Marianah in New ID...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Marianah in New ID...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikitokea umekuwa na mtoto nje....inabidi kutafuta namna ya busara ya kushughulikia hilo suala;lasivyo huyo wa nje anaweza kuchomoa betri familia ikaangamia
Kuoa ni jambo jingine na mchepuko huko ndio kuna mapenzi ya kweli maana sisi wanaume tunafuata fundi wa mapenzi
Kutimiza wajibuSasa kama ni hivyo kuolewa kuna maana gani??
Kutimiza wajibu
Kuchepuka huku ukiwa ndani ya ndoa ni kama ajali tu...
Ewe Mwenyezi Mungu tuepushe na hizi ajali
Kwa jinsia zote eti??
Talaka kivipi sasa wakati wote mnachepuka??Hapo ndio kuna mtihani sasa. Mwanaume hata kama saa hiyo hiyo ametoka nje kwa mchepuko, anawezampa mke talaka tatu kwa kuhisi tu.
Talaka kivipi sasa wakati wote mnachepuka??
Kwa madhaifu ya kibinadamu inawezekana tu lakini kwa neema ya Mungu haiwezekani kabisa sababu hofu ya Mungu pekee inatosha kukutahadharisha utachoenda kutafuta nnje ni dhambi.
Huwa ni tamaa tu kuwa na mchepuko.Poleni na majukumu wana JF
Naomba kujua kutoka kwa Wanaume walioko kwenye Ndoa na wana Nyumba ndogo, huwa ninasikia kwamba Mwanaume anapoamua kuoa ni kwamba huyo Mwanamke ndiyo chaguo lake sahihi ndiye aliyempenda katika kundi la Wanawake wengi, swali je Mwanaume mwenye Ndoa yake anaweza kuwa na upendo wa dhati kwa nyumba ndogo (Mchepuko)?
Na hapo ndio tatizo lilipo sasaWanaume wanaona wana haki na hati miliki ya kuchepuka.
Sasa upendo na ngono wapi na wapi....kwa hiyo mtu anaechukua malaya kila siku..inamaanisha anawapendo.....Mke ni mke na atabaki mke..na mchepuko ni mchepuko tafadhari....
Huwa ni tamaa tu kuwa na mchepuko.