Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Hongera, mko wachache sana.Hapana 'Mimi sioni kuwa ni sahihi. ...naweza kuwa nachepuka lakini sioni kuwa ni sahihi na haiwezi kuwa sahihi kwa mtu anaye tambua Utu
Hongera, mko wachache sana.Hapana 'Mimi sioni kuwa ni sahihi. ...naweza kuwa nachepuka lakini sioni kuwa ni sahihi na haiwezi kuwa sahihi kwa mtu anaye tambua Utu
Kwani ni nani aliosema mwanaume kuchepuka sio sahihi..?
Hakuna kitu kama hichoMuumba!!
Sasa hili la kuvutia biashara fafanua wewe maana lipo upande wa kike zaidi.Na unadhani kwanini wanawake wanafanya hayo yote ili wapate ndoa?? Usishangae haya maswali yote nataka nikuoneshe chanzo cha tatizo ni nini!!
kama nakupenda kiukweli basi c ningemtimua wife ili nikuoe wewe.....
*jiongezeni nyie wanafunzi 🏃
We usiwasikilize hawa chochote kinawezekana hapa chini ya juaUnaweza kushindwa kumuoa Mchepuko kutokana na imani yako ya dini, kama ni Mkristo unatakiwa kuwa na Mke mmoja tu, kuna Wanaume wana Ndoa zao lakini Michepuko inahudumiwa kuliko hata mke wa ndoa, Mchepuko anaweza kuwa na Gari, Nyumba na vitu vingi tu lakini mke wa ndoa hana,nashindwa kuelewa ni kweli Mwanaume mwenye Ndoa hawezi kuwa na upendo wa dhati kwa Mchepuko?
PoleHakuna kitu kama hicho
Kwa sababu ya mitazamo ya jamii!!Sasa hili la kuvutia biashara fafanua wewe maana lipo upande wa kike zaidi.
Umejiumba eti??We usiwasikilize hawa chochote kinawezekana hapa chini ya jua
Wewe elewa kwamba sisi wanaume tunaweza kulala na wanawake hata kumi lakini no strings attached.Poleni na majukumu wana JF
Naomba kujua kutoka kwa Wanaume walioko kwenye Ndoa na wana Nyumba ndogo, huwa ninasikia kwamba Mwanaume anapoamua kuoa ni kwamba huyo Mwanamke ndiyo chaguo lake sahihi ndiye aliyempenda katika kundi la Wanawake wengi, swali je Mwanaume mwenye Ndoa yake anaweza kuwa na upendo wa dhati kwa nyumba ndogo (Mchepuko)?
Hongera, mko wachache sana.
No prob
Hivyo ndoa nyingi ni za kufata mkumbo?Kwa sababu ya mitazamo ya jamii!!
Ndiyo kwa sababu hakuna mtu anayependa kunyooshewa vidole na jamiiHivyo ndoa nyingi ni za kufata mkumbo?
Kama ni hivyo Kumbe mwanaume ni halali kabisa kuchepuka kwasababu aliyenae ndani ameletwa kwa hisani ya jamii na sio upendo.Ndiyo kwa sababu hakuna mtu anayependa kunyooshewa vidole na jamii
iko hivi....Kwa Mke ni Mapenzi yenye UPENDO ndani yake
Kwa mchepuko ni Mapenzi yenye TAMAA ndani yake...
HIYO NDO TOFAUTI ILIYOPO
Ukisema hivyo ni sawa na kusema hata mwanamke naye ni halali kuchepuka!!Kama ni hivyo Kumbe mwanaume ni halali kabisa kuchepuka kwasababu aliyenae ndani ameletwa kwa hisani ya jamii na sio upendo.
Kama hana upendo wa dhati na Mchepuko bali ni tamaa kwanini Mchepuko anaweza kuhudumiwa kuliko Mke wa Ndoa?