tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,895
- 19,770
Michepuko hutusaidia kutuliwaza mke atabaki kua mke
Poleni na majukumu wana JF
Naomba kujua kutoka kwa Wanaume walioko kwenye Ndoa na wana Nyumba ndogo, huwa ninasikia kwamba Mwanaume anapoamua kuoa ni kwamba huyo Mwanamke ndiyo chaguo lake sahihi ndiye aliyempenda katika kundi la Wanawake wengi, swali je Mwanaume mwenye Ndoa yake anaweza kuwa na upendo wa dhati kwa nyumba ndogo (Mchepuko)?