Wanaume wenye hii tabia Muiache, inaboa sana..!!

Kwa sababu wengi sio wote hawajui nn maana ya mapenzi...yaani utakuta ili muwe mnapendana mkutane lodge au kumbi za starehe na pesa anatoa mwanaume na kesho yake utasikia huyuhuyu mtu ametembea na muuza samaki alipokuja kuuza nyumbani kifupi hamjitambui
Kwani muuza samaki hafai kupendwa au ni Mimi sijaelewa.!?
 
Etieeh'..!!
Kumbe this can be a reason eeh'..??
thanks for the lesson.!!
then how can we solve that?
Kujitambua/ Self awareness.

Wanaume tukiwa bado vijana tunajaribu kusocialize na wanawake wengi ili kuonesha uanaume wetu.. na tunapokua watu wazima hii tabia huwa inaisha kwa sababu akili imeshaona hamna jipya, na majukumu yanakua mengi.

sasa mwanaume anaechekacheka na kila mwanamke, au mwanamke anaechekacheka na kila mwanaume katika utu uzima especially akiwa kwenye ndoa, ni aidha hajajitambua, hajakua bado, au hakufanya hayo mambo ujanani kwahio anajaribu kulipizia.

ni upuuzi upuuzi tu.
 
Yaani nimecheka mpaka basi. Hiyo ndio kazi ya wanaume. Anayekukubalia unakula mzigo tu. Hakuna msihara. Ukimchekea mwanaume anakukula wewe, dada yako, mama yako, mdogo wako, rafiki. Ndio raha yetu. Na tunatambia hilo.
 
Yaani umenielewa mkuu mpaka nimeskia raqha,
Hivyo suluhisho hapo ni kila mmoja anapaswa ajitambue, ajue yeye ni nani na anapaswa afanye nini na kwa wakati gani.!!
 
Yaani nimecheka mpaka basi. Hiyo ndio kazi ya wanaume. Anayekukubalia unakula mzigo tu. Hakuna msihara. Ukimchekea mwanaume anakukula wewe, dada yako, mama yako, mdogo wako, rafiki. Ndio raha yetu. Na tunatambia hilo.
Haha!.
Kweli wanaume wetu tunapaswa tuwakabidhi kwenye mikono salama ya M/MUNGU, Jifunzeni kujitambua jamani na mjiheshimu.!!

Huo mzaha mzaha me ndo siupendi kabisa, unakuwa na mwanaume ana utani uliopitiliza na kila rika.! Inaboa sana!
 
Mimi kuna ule utani fulani na Bebe wangu wakutaniana na ke kumuita majina matamu au kushikana siupendi kwa Kweli
 
Hellow guys,
Khabari ya weekend, natumaini mnalisukuma vyema gurudumu la maisha, wale wenye wako na matatizo mbalimbali M/MUNGU akawafanyie wepesi.!!

Leo naomba nizungumze na ile aina ya wanaume ambao wana tabia ya kuwa 'available for every chick', yaani unakuta mwanaume mzima na ana familia yake lakini ndo bingwa wa ku flirt, yaani yeye mfanyakazi mwenzie twende, muhudumu twende, wateja wake twende, jirani twende, muuza duka ama genge twende, unakuta mwanaume mtu mzima lakini ana mazoea ya kiajabu na kila rika ilimradi tu iwe jinsia Ke,

Imagine ndo mumeo, baba watoto ama mpenzi wako mmeenda naye pahala labda sehemu ya kula unakuta ana mazoea na utani uliopitiliza na kila mdada wa humo ndani, hivi unajiskiaje.??

Inafikia pahala unaogopa hata kumtambulisha mwanaume wa aina hii kwa familia yako wale wenye jinsia ya kike sababu unajua dakika mbili nyingi atakuwa ashamzoea, 'Sweet meji, darling shem na mke wangu' zishakuwa kibao muuuda,

Ndo umtambulishe kwa rafikiyo wa kike ambaye naye zake hazimtoshi ndo utakuta they're babing each other kitaambo..!!

Sasa unashindwa elewa hapa nina mwanaume ama mali ya umma?? Hapa naomba nieleweke simaanishi 'kutembea' nao HAPANA.!! Naongelea yale mazoea ya kijinga jinga anayokuwa nayo mwenzi wako kwa jinsia ya kike.!!

Ongea na jinsia tofauti ni sawa, taniana nao hakuna mtu anakuzuia ila kwanini muwe na mazoea ya kipuuzi yaliyopitiliza?? Na mtu wa aina hii ukimuuliza atajifanya kuwaka 'oooh' tunataniana tu'..!! Hakuna mwanamke atamfanyia mwanaume utani wa kupitiliza bila mwanaume kuliruhusu hilo.!

Wakati mwingine mnakuja omba ushauri hapa unataka mtokea mdada ambaye ni mfanyakazi mwenzio, ila utaanzaje while ashakuona uko very cheap, you're just there for everyone.? Aina hii ya wanaume ukigusa simu yake utahisi kuzima, kila contact yenye jina la mdada ina 'babe' ama 'makopa-kopa' na hana mahusiano nao hapo imagine..!!

Huwa mnatusema siye tupo cheap ila I swear baadhi ya wanaume wako cheap zaidi ya neno lenyewe!! Hata siye tunapenda date wanaume wako na 'attitude' guys.!!

'Pals, learn to raise your standards'..!! ifikie mahala mtu akitaka kukuletea ujinga ajiulize kwanza mara mbilimbili anaanzaje.!!

btw, wenye wako na povu walipeleke kwa tangazo la omo, mie nguo zangu nishafua..!!
Dia mistress, you sound to like diasporajay type of a guy.

We outchea baby just feel free to pay a visit to my PM.
 
Mimi kuna ule utani fulani na Bebe wangu wakutaniana na ke kumuita majina matamu au kushikana siupendi kwa Kweli
Yaani inakera sana hiyo tabia.! Na baadhi yao usipokuwa mkali ndo inakuwa tabia yao hata hawajali.
 
Hellow guys,
Khabari ya weekend, natumaini mnalisukuma vyema gurudumu la maisha, wale wenye wako na matatizo mbalimbali M/MUNGU akawafanyie wepesi.!!

Leo naomba nizungumze na ile aina ya wanaume ambao wana tabia ya kuwa 'available for every chick', yaani unakuta mwanaume mzima na ana familia yake lakini ndo bingwa wa ku flirt, yaani yeye mfanyakazi mwenzie twende, muhudumu twende, wateja wake twende, jirani twende, muuza duka ama genge twende, unakuta mwanaume mtu mzima lakini ana mazoea ya kiajabu na kila rika ilimradi tu iwe jinsia Ke,

Imagine ndo mumeo, baba watoto ama mpenzi wako mmeenda naye pahala labda sehemu ya kula unakuta ana mazoea na utani uliopitiliza na kila mdada wa humo ndani, hivi unajiskiaje.??

Inafikia pahala unaogopa hata kumtambulisha mwanaume wa aina hii kwa familia yako wale wenye jinsia ya kike sababu unajua dakika mbili nyingi atakuwa ashamzoea, 'Sweet meji, darling shem na mke wangu' zishakuwa kibao muuuda,

Ndo umtambulishe kwa rafikiyo wa kike ambaye naye zake hazimtoshi ndo utakuta they're babing each other kitaambo..!!

Sasa unashindwa elewa hapa nina mwanaume ama mali ya umma?? Hapa naomba nieleweke simaanishi 'kutembea' nao HAPANA.!! Naongelea yale mazoea ya kijinga jinga anayokuwa nayo mwenzi wako kwa jinsia ya kike.!!

Ongea na jinsia tofauti ni sawa, taniana nao hakuna mtu anakuzuia ila kwanini muwe na mazoea ya kipuuzi yaliyopitiliza?? Na mtu wa aina hii ukimuuliza atajifanya kuwaka 'oooh' tunataniana tu'..!! Hakuna mwanamke atamfanyia mwanaume utani wa kupitiliza bila mwanaume kuliruhusu hilo.!

Wakati mwingine mnakuja omba ushauri hapa unataka mtokea mdada ambaye ni mfanyakazi mwenzio, ila utaanzaje while ashakuona uko very cheap, you're just there for everyone.? Aina hii ya wanaume ukigusa simu yake utahisi kuzima, kila contact yenye jina la mdada ina 'babe' ama 'makopa-kopa' na hana mahusiano nao hapo imagine..!!

Huwa mnatusema siye tupo cheap ila I swear baadhi ya wanaume wako cheap zaidi ya neno lenyewe!! Hata siye tunapenda date wanaume wako na 'attitude' guys.!!

'Pals, learn to raise your standards'..!! ifikie mahala mtu akitaka kukuletea ujinga ajiulize kwanza mara mbilimbili anaanzaje.!!

btw, wenye wako na povu walipeleke kwa tangazo la omo, mie nguo zangu nishafua..!!
Povu hakuna
 
unachomaanisha ni kwamba kuwabandua it's okay ila mazoea hapana tusizidishe....
hahahaaa nmeipenda hii
Wewe naye..!!
Kuna watu wana utani wa kipuuzi and still hawawezi fanya chochote kiuhalisia, so whatever is it ni lazima uwe mkali kwa hayo mazoea ambayo yeah' nakubali sometimes yanaelekea huko kwenye kubanduana.!!
 
Back
Top Bottom