Wanaume wenye hii tabia Muiache, inaboa sana..!!

Wanaume wenye hii tabia Muiache, inaboa sana..!!

Asante, ila kiukweli napenda nisiwe wa kila mtu yaani nikiwa na ww mfano popote nitakapokuwa na ww sipendi kumfanya mtu ajione msindikizaji. Nimekuelewa dada
And this is how a matured man is supposed to be.!!
Hongera kwako, she'll be so so proud of you.!!
 
Halafu mm ndo zangu hizo napenda sana kitumbua so huwa siangalii status ya mtu kama amenivutia tunamalizana tu kisela...maisha yenyewe haya mafupi...
Inst-image.jpeg
 
Think this thread had written by someone with beauty and brain.
I always struggle so that one day will have a wife with beauty and brain not one affordable by everybody.
The mistakes i cant do is to underrate on myself.
Not one who even bodaboda, muuza genge, tax driver n.k wanakuwa na uwezo wa kuongea naye chochote even f**n jokes.
Be of standards find the standard one.
This is my standing!!
Your Highness..!!
Hii ndo aina ya wanaume kila mwanamke anayejitambua anavutiwa nayo..!!
Blessed up mkuu.!
 
Ni kweli wapo Watu wa namna hii/hiyo.

Kuna Jamaa namfahamu kwa Sura, yeye ametembea na Marafiki wote wa Mwanamke wake.

Mbaya zaidi hao Wanawake (wanajuana) wanajua fika Jamaa amewashapitia.

Unaweza ukasema Mwanamme ndie mwenye Makosa, lakini ukija upande mwingine utagundua kuwa Wanawake ndio wenye Makosa.

Ushajua fika Jamaa ni Mwanamme wa Rafiki yako, na ushajua fika pia Jamaa ameshatembea karibu na Wanawake Watatu (mnajuana) kwenye kundi lenu.

Vipi tena na wewe unakubali kumvulia CHUPI!?
Nimekuelewa mkuu, tena vizuri kabisa na ndo maana tunapaswa kuikemea hii tabia toka mwanzo ya mazoea ya ajabu ajabu na rafiki wa kike wa mkeo, naamini hawakurupuki wanaanzia mbali kwenye hizi 'Shem Shem' zisizo na msingi wowote.!!
 
Back
Top Bottom