Wanaume wenye hii tabia Muiache, inaboa sana..!!

Dume moja la samaki majike sita
Jogoo moja scientifically linaitaji mitetea kumi
Simba dume moja linamiliki himaya yenye warembo kama wote
We are polygamist in nature tunatengeneza mazingira mapema mkuu akiba haiozi
ila tutafanya utani ukiwa haupo huyo alifanya makosa kukuonyesha
 
Nakuelewa mkuu ila si Mimi nimefanyiwa, naongelea tu kiuhalisia wa maisha ya baadhi ya wanaume.!!
Kama ni polygamist in nature, ni nani kaja tena kuitengua hiyo nature mbona tunapingana nayo at the same time.!!
 
Sjakuelewa hapa yani unasema unaipinga hiyo nature?
Nakuelewa mkuu ila si Mimi nimefanyiwa, naongelea tu kiuhalisia wa maisha ya baadhi ya wanaume.!!
Kama ni polygamist in nature, ni nani kaja tena kuitengua hiyo nature mbona tunapingana nayo at the same time.!!
 
Wewe mtoa mada ndio una matatizo hakuna watu wa aina hiyo hapa dunian
Yaani mtu awe kiwembe mpaka kwa wasio na haiba hapana
Sifa ya mwanaume anapenda mwanamke mzuri
"Sisi sio magreda'' tabia hizo mnazo nyinyi hasa ya umalaya
 
Wakati mwingine jifunze kuisoma mada na kuielewa usikimbilie tu kujibu hakuna mtu anagawa tuzo hapa.!
 
Huyo mlengwa una uhakika kalisoma hili gazeti lako hapa ??
it ain't personal bruh' relax..!!
Wenye tabia hiyo wataibadili maana hata wanaume wenye wenzi wao haiwafurahishi.!!
 
Back
Top Bottom