Wanaume wenye hii tabia Muiache, inaboa sana..!!

ila ujue wanawake ni pambo la dunia,,,, ua zuri katika kichaka........na kuna wanawake tunahitaji angalau kumsemesha tuu...hatutongozi wote......umsemeshe aongee tuu....then off...nothing more.....ila nikiwa na wewe bebi wangu hakika siwezi jaribu hiyo kitu....lazima nikuheshimu ....kumbuka nakuthamini ndo maana tuko pamoja....
 
halafu nyie wapare nina bahati nao sana sijawahi date mwanamke tofauti na mpare daa noma kwelii
heeeeeeeeeee!
Sifa ya wapare kwenye ndoa ni UVUMILIVU, ni mara chache kuona mpare "amevunja mji" sisi wanawake kipare ni wavumilivu hadi kero. Pia wengi wetu tunapenda mambo ya maendeleo kwenye familia
Karibu sana upareni mkuu. wewe sasa ni ndugu yetu
 
shukrani mkuu si unajua sisi wasabato tunaoana watu wa msoma na wapare ahsante shemejii
 
Back
Top Bottom