Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,637
- 29,711
- Thread starter
- #21
Exactly..!!Hat sisi wanatuboa sana. Unakuta mtu upo serious na demu flani halafu mwenzako ndio analeta malavidavi na hali mzigo. Ukienda kwa mwingine hivyo hivyo
Sisi wazee wa kazi kazi tunakereka sana.
Hii tabia inaboa sana! Wanaume wajitahidi kuwa serious wakati mwingine, imagine mtu anafanya ujinga kwa mkeo mbele yako, si unaweza kata raia masikio.!!