Wanaume wenye hii tabia Muiache, inaboa sana..!!

Wanaume wenye hii tabia Muiache, inaboa sana..!!

Nijibu tu mkuu kati ya wanaume na wanawake wapi wanaongoza kwa michepuko
God, I knew it..!!
Sizungumzii michepuko hapa mkuu wangu.!! Nazungumzia wanaume wasiyo wastaarabu wanaoanzisha mazoea ya kijinga jinga na kila jinsia Ke..!!
 
Pole kwa kwa kuwa na type hiyo. Ila ungemwambia tu kuliko kuleta huku au na yeye yupo humu!
 
God, I knew it..!!
Sizungumzii michepuko hapa mkuu wangu.!! Nazungumzia wanaume wasiyo wastaarabu wanaoanzisha mazoea ya kijinga jinga na kila jinsia Ke..!!
Mazoea yapi yaaani kushikwa shikwa kuongea mambo ya hovyo ...kama ni hivyo ukiona mwanamke anapenda tabia ya kuchezewa chezewa au kufurahia kuongea na mwanaume mambo hayo usikimbilie kumlaumu mwanaume hapo mwanamke ndio ana matatizo
Tunasema mwanamke anadanga na mwaume hana kosa hapo ...kama umeshawahi kushuhudia hili usikimbilie kumlaumu mwanaume
 
Victim siku zote huwa mwanamke, na kila tukizungumza tunawasema wanawake ila ifikie mahala tuwaambie na wanaume ukweli, wanapaswa waache hiyo tabia na siyo kila siku kuikandamiza jinsia ya kike..!
 
Maprofesa wakipita kwenye huu uzi watagundua kwamba kutoka nje ya mada ni janga la kitaifa..
na ndo sababu ya wanafunzi wengi kufeli.
 
Maprofesa wakipita kwenye huu uzi watagundua kwamba kutoka nje ya mada ni janga la kitaifa..
na ndo sababu ya wanafunzi wengi kufeli.
I'm surprised, baadhi ya ndugu zangu wanaoongelea habari tofauti kabisa.!!
 
I'm surprised, baadhi ya ndugu zangu wanaoongelea habari tofauti kabisa.!!
ila kwa mtazamo wangu naona mwanaume mwenye hizo tabia ana low self esteem.. ni sawa na mwanamke anaeflirt na wanaume wengi.. they're trying to feed their ego so they can feel better about themselves..

LOW SELF-ESTEEM/inferiority feelings.
 
Etieeh'..!!
Kumbe this can be a reason eeh'..??
thanks for the lesson.!!
then how can we solve that?
 
Victim siku zote huwa mwanamke, na kila tukizungumza tunawasema wanawake ila ifikie mahala tuwaambie na wanaume ukweli, wanapaswa waache hiyo tabia na siyo kila siku kuikandamiza jinsia ya kike..!
Ukweli upi jamani..hebu fikiria wanaume aliye na mke anayemjali anamfariji na kumjali huyo mwanaume huwezi kuta hizo tabia
Jamani wanawake mnakwama wapi maana mkidanganywa kidogo tu mnadhalilishwa halafu mnasingizia mfumo dume😃😃
 
Daamn'..
Na kwanini mtudanganye???
 
Hellow guys,
Khabari ya weekend, natumaini mnalisukuma vyema gurudumu la maisha, wale wenye wako na matatizo mbalimbali M/MUNGU akawafanyie wepesi.!!

Leo naomba nizungumze na ile aina ya wanaume ambao wana tabia ya kuwa 'available for every chick', yaani unakuta mwanaume mzima na ana familia yake lakini ndo bingwa wa ku flirt, yaani yeye mfanyakazi mwenzie twende, muhudumu twende, wateja wake twende, jirani twende, muuza duka ama genge twende, unakuta mwanaume mtu mzima lakini ana mazoea ya kiajabu na kila rika ilimradi tu iwe jinsia Ke,

Imagine ndo mumeo, baba watoto ama mpenzi wako mmeenda naye pahala labda sehemu ya kula unakuta ana mazoea na utani uliopitiliza na kila mdada wa humo ndani, hivi unajiskiaje.??

Inafikia pahala unaogopa hata kumtambulisha mwanaume wa aina hii kwa familia yako wale wenye jinsia ya kike sababu unajua dakika mbili nyingi atakuwa ashamzoea, 'Sweet meji, darling shem na mke wangu' zishakuwa kibao muuuda,

Ndo umtambulishe kwa rafikiyo wa kike ambaye naye zake hazimtoshi ndo utakuta they're babing each other kitaambo..!!

Sasa unashindwa elewa hapa nina mwanaume ama mali ya umma?? Hapa naomba nieleweke simaanishi 'kutembea' nao HAPANA.!! Naongelea yale mazoea ya kijinga jinga anayokuwa nayo mwenzi wako kwa jinsia ya kike.!!

Ongea na jinsia tofauti ni sawa, taniana nao hakuna mtu anakuzuia ila kwanini muwe na mazoea ya kipuuzi yaliyopitiliza?? Na mtu wa aina hii ukimuuliza atajifanya kuwaka 'oooh' tunataniana tu'..!! Hakuna mwanamke atamfanyia mwanaume utani wa kupitiliza bila mwanaume kuliruhusu hilo.!

Wakati mwingine mnakuja omba ushauri hapa unataka mtokea mdada ambaye ni mfanyakazi mwenzio, ila utaanzaje while ashakuona uko very cheap, you're just there for everyone.? Aina hii ya wanaume ukigusa simu yake utahisi kuzima, kila contact yenye jina la mdada ina 'babe' ama 'makopa-kopa' na hana mahusiano nao hapo imagine..!!

Huwa mnatusema siye tupo cheap ila I swear baadhi ya wanaume wako cheap zaidi ya neno lenyewe!! Hata siye tunapenda date wanaume wako na 'attitude' guys.!!

'Pals, learn to raise your standards'..!! ifikie mahala mtu akitaka kukuletea ujinga ajiulize kwanza mara mbilimbili anaanzaje.!!

btw, wenye wako na povu walipeleke kwa tangazo la omo, mie nguo zangu nishafua..!!
Tatizo CHURA mama....

#ASANTE
#YNWA
tapatalk_1569782686563.jpeg
tapatalk_1569767930925.jpeg
 
Daamn'..
Na kwanini mtudanganye???
Kwa sababu wengi sio wote hawajui nn maana ya mapenzi...yaani utakuta ili muwe mnapendana mkutane lodge au kumbi za starehe na pesa anatoa mwanaume na kesho yake utasikia huyuhuyu mtu ametembea na muuza samaki alipokuja kuuza nyumbani kifupi hamjitambui
 
Back
Top Bottom