Wanaume wengine wamejaliwa

Wanaume wengine wamejaliwa

nguvu nyingine ni ugnjwa sio unasifia ujinga.........
 
Masaa manne(4) hadi masaa saba(7)......kweli??????????
 
Kama ni kweli halali kwa mwanamke kumkimbia kwani anaweza pata madhara yafuatayo:-
1. Kiafya atadhulika maana shughuli hii huchosha na kama wanafanya usiku masaa hayo 4 hadi 7 inaonekana hawalali kitu ambacho ni hatari maana hata lindo lina zamu sasa yeye ati anahitaji tendo la ndoa kila siku.
2. Kiuchumi watakufa masikini kama watafanya tendo hili mchana muda wa kufanya kazi utakuwa mdogo mno.


Note: Mwambie mwanaume huyo atangaze zabuni kwa wanawake wasiotosheka kiuchumi atapata fedha nyingi itabidi wawe wanamlipa fedha yeye. Na ajisajiri ili kazi yake iwe hiyo tu; masaa7 kuanzia asubuhi ni muda ambao hata aliyeenda shamba anarudi anakuta bado jamaa anaendelea na mradi wake huo. Kwa kazi hiyo atakuwa muwajibikaji mzuri
 
nguvu nyingine ni ugnjwa sio unasifia ujinga.........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom