Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,215
- 54,549
Yeah! Uzuri wa mtu upo kwenye nguo! tukivua sasa mhmhmhmhmmmmhhhhmmhhhm!
Kabla ya kuvua hamasa ya kuona kilicho ndani inakua ipo juu sana
Yeah! Uzuri wa mtu upo kwenye nguo! tukivua sasa mhmhmhmhmmmmhhhhmmhhhm!
kizazi cha kijinga sana hiki maana ni kizazi kinawaza ngono tu wakati wenzetu wanawaza uvumbuzi na utatuzi wa changamoto sisi tuanawaza eti uanaume ni kuwa na dude kuuubwa.hii ni aibu na kipimo cha ujinga wa kijana wa kitanzania.mtu unawaza ukubwa walidudu au udogo wa kadudu badala ya kuwaza unafanyaje kuchangia mabadiliko ktk siasa za nchi hii ili kuikinga nchi na majangili na mafisadi kwa manufaa ya kizazi kijacho.kijana wa kiume wa kitanzania ni km demu tu.maana demu anawaza kuwa na hips kubwa na mvulana anawaza muhogo mkubwa.aibu eeee aibu.
haka ka msemo ka "wenzetu" hua kananitapisha sana asee bas tu
pole sana! umeongea kwa hisiaa kama ndo mlengwa
Kabla ya kuvua hamasa ya kuona kilicho ndani inakua ipo juu sana
Wanene hawajitumi na no flavor. Hapo hauko sahihi kinyume ni sawa
wapi sasa....?Ndo ujaribu sasa khakhaa learn through experience upate Kunambia!
kwa jinsi ulivo na akili ndogo unadhani jf ni kwa ajili ya kuchekeshana na kulishana ujinga.home of the great tinkers haiwezi kuwa na ujinga km huu.ili ujue ni ujinga angalia michango ya watu.utagundua jambo.hata ukinimind utafqnya nn juu yangu.
Kwani wenye vibamia walipenda wawe na vibamia jamani? Ni kama kuwa mfupi au mrefu au kuzaliwa USA OR TANZANIA,KUZALIWA FAMILIA MASKINI AU TAJIRI kUZALIWA ME AU KE.kuwaadhihaki ni sawa na kumtukana mtu aliyezaliwa na ulemavu
Chochote ulicho jikuta nacho kina kusudi lake na ridhika nacho,''hujafa ujaumbika''mwenyezi mungu awasemehe
nadhani hapa team beseni ndo hawataki vibamia