Me maswala ya mademu nishapiga chini kitambo saivi rafiki yangu ni LiteUlishagharamia demu alafu ukamfumania anatoka geto...
Mkuu hii issue umeongea imenigusa sana. Ki ukweli kabisa nina ushahidi wa watu wengi sana wamehamia kwenye pombe tu wameachana kabisa na mambo ya wake au mahusiano. Yaani mtu anaenda home kulala tu ,Wanawake wa siku hizi sio kama wa zamani. Zamani wanawake walikuwa na mapenzi ya kweli. Mtu alikuwa anakaa kwenye ndoa na mahusiano bila stress. Mtu alikuwa anatunza, anasomesha na kisha kuoa bila kukwazana. Siku hizi mambo yamebadilika sana. Watu wameamua kujidunga mitungi na kwenda homu kulala. Kama kupunguza uzito mtu anatafuta kazi ya muda tu au hakuna kuwekeza kabisa.
K vant vipi?
Hapa nilipo nipo na wadau. Kila round zinakuja tatutatu. Kila mtu alishaumizwa sasa ni kugida tu.Mkuu hii issue umeongea imenigusa sana. Ki ukweli kabisa nina ushahidi wa watu wengi sana wamehamia kwenye pombe tu wameachana kabisa na mambo ya wake au mahusiano. Yaani mtu anaenda home kulala tu ,
Sijakasirika Wala, pia sina mume wa hivyo, na akianza kuwa Kama nyie am sure baada ya mwezi atajiona mpumbavu, maana maisha yataenda sambamba na maamuzi yake. Kupanga ni kuchagua.Sasa unakasirika nini? Wakati mnazingua wenyewe.
Ilikuaje hukuoa hao wa zamani? Wa siku hizi ni kuanzia mwaka gani?Wanawake wa siku hizi sio kama wa zamani. Zamani wanawake walikuwa na mapenzi ya kweli. Mtu alikuwa anakaa kwenye ndoa na mahusiano bila stress. Mtu alikuwa anatunza, anasomesha na kisha kuoa bila kukwazana. Siku hizi mambo yamebadilika sana. Watu wameamua kujidunga mitungi na kwenda homu kulala. Kama kupunguza uzito mtu anatafuta kazi ya muda tu au hakuna kuwekeza kabisa.