Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

Hivi inawezekana kuingia na makubaliano na mwanamke wa kibongo umlipe akuzalie mtoto then msijuane?
Kadiri miaka inavyosonga mbele hili litakuwa jambo la kawaida sana. Kwa sasa wapo wachache japo hawajiweki wazi sana na wengi wao wana kazi zao na vipato vyao.

Kutokana na uzoefu wangu
 
Mbona huwa hammalizi salama, yani sijawahi sikia mchepuko ulowin hata siku moja mwisho wa siku anabebeshwa mimba wanaanza kutukanana
Kama kuna ambao amewahi kuchepuka na akasucceed ni 3/10

Tafuta mbaba yeyote mwenye ndoa alafu na mchepuko hata kama atakaa na mchep miaka kumi fatilia mwisho wao hata akimuowa mara nyingi mwisho hauwi mzuri nina evidence za watu wengi
True story..mahusiano ya nje ya ndoa hayadumu
 
Hawajui wanaume... Ila pia wengi hawawajui wanawake.... Kuna mwanamke ukiambiwa anachepuka unaweza bisha usiku kucha... So wanaume huwa wanajiona wajanja wakitoka kwa mchepuko kumbe na mkewe alichepuka pia, dunia hii vikojoleo vinasumbua jinsia zote.. Hii ni tangu zamani
Ukitaka kujua kuwa equation inabalance
Jiulize mwanaume akichepuka anachepuka na Ke ama Me mwenzake?.
Jibu wote tunalijua
 
..mbaya zaidi kwa aliyeoa ni ngumu sana kitumia ndom walishazoea nyama kwa nyama
Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea

WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani

Ova
 
Kuna mkaka wa heshima na nafasi kubwa tu serikalini. Amekamata katoto ka form six direct employment, amekapangishia guest wing.

Kila akitoka kazini ana kaa huko mpaka saa mbili usiku ndiyo anakwenda kwake. Anamhudumia kila kitu mpaka gari amemnunulia.
Namsikitikia huyo binti
 
Mmesahau MANENO ya Bible kuwa suleiman alikuwa na wake 700na masuria 300? Lo dini zilizopanda meli hiz ni utumwa mwingine huu!! Mwanaume piga mzigo unazuba zubaa eti mke mmoja we utakuwa fala!!!
Ukitaka kujua kuwa equation inabalance
Jiulize mwanaume akichepuka anachepuka na Ke ama Me mwenzake?.
Jibu wote tunalijua
 
Mmesahau MANENO ya Bible kuwa suleiman alikuwa na wake 700na masuria 300? Lo dini zilizopanda meli hiz ni utumwa mwingine huu!! Mwanaume piga mzigo unazuba zubaa eti mke mmoja we utakuwa fala!!!
Wanawake elf 1?
Kwa mwaka ukitia kila siku wawili utawamaliza 700 tu
Hamjiongezi kuona alikua anasaidiwa?..

Na bado hamuoni aliandika kitabu cha mapenzi kwa ajili ya mwanamke mmoja tu
Kuna siri kubwa ya mapenzi imefichika hapo...jihoji
 
Hii habari mimi huwa inanipa ukakasi sana wanawake zaidi ya 1000, huwezi kujua lakini
Labda ripoti za kusaidiwa hazikuwa published
 
Hii habari mimi huwa inanipa ukakasi sana wanawake zaidi ya 1000, huwezi kujua lakini
Labda ripoti za kusaidiwa hazikuwa published
Ukakasi mkubwa mkuu
Hasa kwny kuwaridhisha kimapenzi,kihisia nk
Mahitaji ya chakula na mavazi ni small issue

Mfano akitoka nani ndo main chic?.the other woman anajiskiaje?..no wonder serikali pia inatambua spouse mmoja tu
 
Ngoja tuwaachie wenyewe Aisee, haya mambo ni magumu sana Mkuu.cha msingi ni kila mtu kuwa Responsible kwa janga lake
 
Kuna mkaka wa heshima na nafasi kubwa tu serikalini. Amekamata katoto ka form six direct employment, amekapangishia guest wing.

Kila akitoka kazini ana kaa huko mpaka saa mbili usiku ndiyo anakwenda kwake. Anamhudumia kila kitu mpaka gari amemnunulia.
Kuna Wanaume wamejaliwa roho nzuri hadi raha.
 
Back
Top Bottom