okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,653
Hellow,
Miaka ya zamani ilikuwa si jambo la ajabu kusikia mtu anafukuzia mwanamke kwa miaka hata miwili hadi mwishowe anampata, ila kwa sasa naona kama wanaume wengi wakishaambiwa tu "no" ndo imetoka hiyo, wana-give up mapema, au sometimes mwanaume akiona anajibiwa one-word text, basi hamfukuzii tena huyo mwanamke na mawazo ya kutongoza yanapotea.
I wonder why most guys (including me) are like this nowdays...