Wanaume wengi ni wajinga

Wanaume wengi ni wajinga

Kwani outing ww unataka iwe ya sh ngap.. Ndo uiite outing, Elf 10 hapo unapata chips yai 2 mishkaki 4 na soda, tena kwenye restaurant nzuri tu ya kawaida..bado usafiri wa bodaboda ukute mwanaume anagharamia, so maybe elf 20 inakata..

Huyo Mwanaume nlimsoma usoni, nikaona kama vile hana raha na hayo mahusiano, though bidada alijaribu kuwa romantic Kwa kumlisha chakula huyo mwanaume, lkn mwanaume alikataa kulishwa..

Nlivoona kisimu anachotumia huyo mwanaume, gharama anazotumia, na simu anayotumia mdada, nlibanwa na kicheko ila nlijizuia kucheka.. Hlf hapo hapo ikaja couple ingine kwenye restaurant, both of them walionekana happy na walioridhika na uhusiano wao cute b
Ahaaa kumbe ndio wewe ulivyokuwa unanipiga jicho hadi nikaona aibu kulishwa na mbebezi wangu..

Kuhusu simu, smart yangu ilikuwa imekata moto, niliitiliza tu ndani ya kipochi cha suruali.

Siku nyingine usinikodolee macho hivyo
 
True kabisa halafu yule mdada aliyekisaidia kama kakusomesha kakugharamia kwa kila kitu hujui alijinyima mangapi ila wewe unaenda oa mwingine ambaye hajakugharamia chochote.
Halafu unaenda kudhania utamwoa hata na yeye atakuchuna nakukuacha kabisa na utabakia mtupu chote ulichosotewa na wazazi au yule mdada uliyemliza laana zao zote zitakupata na wala hutokaa uendelee acheni kuwa na roho mbaya wanaume wakileo kuweni na utu mioyoni mwenu.
Kabisa maisha ni utu mengine yanafuata.
[emoji15][emoji33][emoji33][emoji33]
Right now
IMG_20190501_225326.jpg
 
Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 wakati wewe unatumia simu ya zamani ya Nokia ya tochi isiyo na cover la nyuma, ambayo betri imeshikiliwa na rubber band, hlf button zimeumuka..huyo mdada unaemtoa out ana simu ya screen touch..hii scenario mm nliiona live..

Unamsomesha chuo mdada uliekutana nae ukubwani wakati hela zako ni za mawazo, hujui anakuwazia nn na ana malengo gani na ww..unavosomesha mpenzi wako uliekutana nae ukubwani, huna ndugu zako wenye shida?

Unamjengea mwanamke nyumba, kwenye kiwanja chake, wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga kama si ujinga huo ni nini? Eti Kwa kisingizio mtakuja kuishi wote kwenye hio nyumba, una uhakika gani?

Mnatafuta sifa kwa kugharamikia mambo makubwa kuliko uwezo wenu, hlf mkiachwa mnakuja kulalamika na kulia humu jf
Mawazo mgando, kifupi kila mmoja huwa na standard zake ukishasema outing ya tsh 10 bila shaka kila mmoja atapata picha ya hali ya kimaisha ya mwanaume huyo.

Pia wewe kuiona aina ya simu atumiayo kwa wakati huo haimaniishi hali yake ni duni, na kwa taarifa yako hakuna watu mabahili kama matajiri haswa wale waliozitafuta kwa jasho lao. So never judge a book by its cover.
 
Hawa wadudu dawa yao gunia mbili za mkaa mana wanatuona sisi ni maboya kisa vipapuchi vyao. Afu akikupa kipapuchi chake anaona kakupa utajiri vipapuchi vyenyewe unakitafuna kinatoa harufu basi tu nature tumeumbwa lazima tuvipende
 
kama ni mtaji nimekupa mil 10.
60% ni yangu.

mambo ya mke na mume ni ndani sio kwenye biashara.

Aisee interesting!
Naona hapo mke ni anatumika kukuzalishia wewe
But if she is smart na ana mkono wa biashara bado anaweza kukufunika na ile prenup agreement itakufunga mwenyewe
 
Kitu kimoja nilichonote kwa mleta thread ni kwamba, hana hela, hana mpenzi au hana raha kwenye mahusiano yake.

Ndiyo maana anajaribu kujipa faraja kwa kuangalia kama kuna wenzake.
 
Basi acheni kuzipapatikia kama hamtaki tuwaone maboya
Hawa wadudu dawa yao gunia mbili za mkaa mana wanatuona sisi ni maboya kisa vipapuchi vyao. Afu akikupa kipapuchi chake anaona kakupa utajiri vipapuchi vyenyewe unakitafuna kinatoa harufu basi tu nature tumeumbwa lazima tuvipende
 
Back
Top Bottom