Wanaume wengi ni wajinga

Wanaume wengi ni wajinga

my previous comment was intentionally made to persuade you to give your view in subtle way about that. Yeah!! of course how we present ourselves in this forum can be a reflection of our manners at least in social sense. I am used to you as argumentative fellow i’d never thought you are even good in vulgar language, that queer side was yet to be seen by me. However i salute your tenacity girl.
Hahahaha na hii ndiyo sababu kwanini nilibadili id yangu ya JF labda nikupe hint kidogo ya personality yangu sikia iko hivi ile id niliyokuwa natumia mwanzo ya Edelyn ndo official nick name yangu ambayo karibu watu wote wanaonijua wanaijua ila nakumbuka nilishawahi kusema humu kuwa hakuna mtu wangu yeyote wa karibu ambaye ni member wa JF isipokuwa mmoja tu ambaye ni rafiki yangu tena naye mimi ndo nilimsaidia kujiunga na hata hayuko active sana as in huwa hachangii mada sana humu ila wengine labda kama wapo bila mimi kujua

Sasa juzi kati hapa kuna ndugu zangu wanaonijua vizuri ndani nje nje ndani kitabia waliojiunga JF hivi karibuni na kukutana na baadhi ya comments zangu humu walinifuata wakaniuliza yule Edelyn wa JF ni wewe nikawaambia ni mimi aise walinishangaa wakaniambia wewe Edelyn huyu huyu tunayekujua sisi au mwingine wewe ulivyo mpole hivyo tangu lini ukajibishana na watu tena kwa majibu ya hovyo kama yale na comments ndefu kama zile nikawaambia ile ni confidence tu ya nyuma ya keyboard wakasema haiwezekani hiyo confidence umeipatia wapi wakati sisi tunakujua hata mtu akikukosea vipi hauwezagi kumjibu vibaya siyo kwa matamshi wala maandishi wakaniuliza na shemeji yetu anajua nikawaambia hajui hayupo JF wakasema tena yule akijua ndo atakataa kata kata kwamba siyo wewe mwenye majibu yale

Yaani hawakuamini na walinishangaa hadi nikaona aibu nikawaza ningejua ningewadanganya tu kwamba siyo mimi ni mtu tu mwingine anatumia id inayofanana na nick name yangu ila ndo hivyo nilishalikoroga tena nahisi walizifuma zile comments nilizokuwa nabishana na wewe na Extrovert sasa nikaona isiwe taabu ngoja nitafute jina ambalo sijawahi kulitumia popote na wala hamna kati yao anayelijua ndo nikapata hili nikawatafuta mods wanibadilishie id wakanibadilishia na najua wale hawawezi kugundua kama ni mimi ndo nimebadili id maana hawako active sana JF

Mimi ndo maana huwa nawashangaa watu humu wanaosemaga eti haya tunayoyaandika humu ndo yanatambulisha uhalisia wetu sijui labda kama wengine huwa wanaandika mawazo yao halisi ila mimi siwezi kufanya hivyo na wala siwezi kusema namjua mtu kutokana tu na anayoyaandika mitandaoni hasa JF tena mengi ninayoyaandika humu huwa sitoi kichwani kwangu bali huwa nayasikia tu kutoka kwa baadhi ya marafiki zangu maana na mimi nina marafiki pasua vichwa wana midomo hao yaani haya ninayoyaandika humu wao huwa wanakuwaga na ujasiri wa kuyatamka kabisa kwa kifupi tu ni kwamba Edelyn wa JF na Edelyn wa real life ni watu wawili tofauti japo ni mtu mmoja you may take it or leave it but that is the truth
 
Wewe msichana akili hauna, sasa kama umebadili id na umeweka hadharani id yako ya mwanzo na mazingira yaliyosababisha ubadili id ,sasa wale waliokuwa wanakujua watashindwa kukujua tena kama watasoma hapa?
 
Ndo tatizo la kukurupuka kujibu bila kuelewa nilichoandika nimesema hawapo active sana JF na nina sababu zangu kwanini nasema hawawezi kuiona hii comment vipi kwani are you so concerned?

hahaha sawa mama bora umeongea uhalisia zaidi.
 
interesting epistle about you! so you always form alpha female online and behave like rat offline? inawezekana.

Kwa hiyo kumbe zile habarj zako za kwamba sijui mwanaume lazima hakusaidie kuosha vyombo,kupika,kufua n.k huwa ni stori tu na ukimaliza kubishana hapa unaenda kuzifanya mwenyewe huku jamaa yako amenyoosha miguu juu ya meza?... na ukimletea hizo stori, akikoroma tu una nywea kama watumishi wa Magu wakiwa wanaongea na bosi wao? ..,hahaa

Sema kikubwa zaidi kinachotutofautisha huku na nje ya hapa ni confidence tu
 
Kwani hapa tunaongelea mitazamo au lugha ninayotumia humu? Mimi kimitazamo kwa asilimia kubwa niko hivi hivi nilivyo kwa sababu binadamu tunatofautiana kimitazamo ila kitabia ndo niko tofauti na nilivyo humu yaani mimi naamini mwanaume siyo vibaya kumsaidia mke wake kufanya kazi za ndani

Ila siamini katika kumshurutisha afanye bali naamini kwamba afanye mwenyewe kwa kujisikia asipojisikia aache na mimi nashukuru tu kwamba nimepata mwanaume ambaye yeye kwake kufanya hizo kazi haoni ishu japo sijawahi kumuomba anisaidie na yeye mwenyewe huwa anafanya mara moja moja sana tena akijisikia

Halafu pamoja na kuwa wote tunatafuta pesa ila yeye ndo kaniacha pakubwa sana kiuchumi na huwa ananihudumia kwa mapenzi yake mwenyewe maana mimi sijawahi kumuomba hela yaani naomba niseme tu mimi sijuagi kumuomba mpenzi wangu hela ikitokea nina shida kubwa sana nitafanya juu chini niombe hata kwa ndugu au marafiki ila siyo kwa mpenzi

Na hilo lilinifanya niweze kuwa kwenye mahusiano hata na mwanaume masikini maana mimi siamini sana katika kumtegemea mwanaume kwa kila kitu kwahiyo naweza kusema baadhi ya mitazamo niko nayo kiuhalisia ila jinsi ninavyoiwasilisha na watu wanavyonichukulia humu ni tofauti na kwenye maisha halisi

Hapa tunaongelea lugha na mitazamo vyote kwa pamoja, kwa maana lugha ndio inatumika kuwasilisha mitazamo yako na bila lugha hatuwezi kujua mitazamo yako ikojee!! Anyway tuachane na hili.

Nikupe hongera nyingi kwa kumpata mwanaume type unayoipenda na mwenye kuendana na mitazamo yako, hakika maisha yako ya mahusiano/ndoa ni matamu sana. kwa ulivyomuelezea ni dhairi yuko kwenye ile 80% ya wanaume wote duniani(sitopenda niende ndani zaidi hapa) na wanaume kama hawa ndio dunia ya leo inawahitaji sana.

Asee ndio maana huwa unakoma sana humu “mgawanyo wa majukumu”... “mgawanyo wa majukumu” kumbe kuna mwanaume mwenzetu uko nje tayari yuko trapped na amekufanya ukaona ni kitu cha kawaida na mwanaume yeyote anaweza akaishi kwenye hiyo mitazamo!! ..not bad though.

Pia nikupe hongera sana kwa kuwa binti mwenye haiba ya aibu kwenye suala la kuomba pesa, your kind are very rare now days hakika hapa shemeji kaokota apple chini ya mchongoma.

Kama naona kwenye hiyo couple yenu kuna compatibility ya hali ya juu. Endelea kutunza furaha yenu kwa kuimwagia mbolea murua kabisa na kutengeneza ka paradise kadogo katakokuwa ni envy ya kila anayewatupia jicho.

Haya msalime sana shemeji.
 
Haaa...sasa huo ndo uanaume....Wewe ni mwanamke huwezijua hulka zetu....
 
Wanaume tusidharau huu Waraka. Mahusiano yasiwe sehemu ya kudhulumiana na kutegana tutumie akili tusiendeshwe kiboya.
 
Back
Top Bottom