Wanaume wengi ni wajinga

Wanaume wengi ni wajinga

Wanawake bhana ni viumbe wasiokuwa na shukrani kabisa.
Ukiwa mgumu kutoa wanakuita bahili na kuambiwa una roho mbaya.
Ukiwa mtoaji unaitwa mjinga.
Sasa sijui tufanyeje?
 
Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 wakati wewe unatumia simu ya zamani ya Nokia ya tochi isiyo na cover la nyuma, ambayo betri imeshikiliwa na rubber band, hlf button zimeumuka..huyo mdada unaemtoa out ana simu ya screen touch..hii scenario mm nliiona live..
Unamsomesha chuo mdada uliekutana nae ukubwani wakati hela zako ni za mawazo, hujui anakuwazia nn na ana malengo gani na ww..unavosomesha mpenzi wako uliekutana nae ukubwani, huna ndugu zako wenye shida?
Unamjengea mwanamke nyumba, kwenye kiwanja chake, wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga kama si ujinga huo ni nini? Eti Kwa kisingizio mtakuja kuishi wote kwenye hio nyumba, una uhakika gani?
Mnatafuta sifa kwa kugharamikia mambo makubwa kuliko uwezo wenu, hlf mkiachwa mnakuja kulalamika na kulia humu jf
Na nyie mkiuliwa mkirundikiwa magunia ya mkaa mnalamika, sasa wakati huo kipindi najipinda nafanya hayo yote kama ungekua huna mpango na mimi si unaniambia tu ..yani nyie dawa yenu tushaijua asahivi.. 😁
 
unachokisema ni kweli! hali ni mbaya sana.. lakini hii presha ni presha ya kupata mwenza wa maisha.. inasumbua sana! kibaya unakuta unajitutumua aone una care yeye kimoyomoyo anawaza 《vihela vyenyewe vya shida hivi ngoja nishibe niondoke zangu nikakutane na...()!》
.
.
japo nakiri hao wengi ni vijana wa chuo, wa kitaa ambao bado wanaile kauli 《aah huyu dem tumemchezea saaana bas leo anapita na kigari cha mmewe anatuona malofa》 😂😂😂😂
.
.
tutafte hela mazee, hela haijawahi mtupa mja wake!
 
Kwa bandiko hili unazidi kudhihirisha jinsi gani wanawake mko 'after money" na kwa jinsi mnavyokosa uelekeo!
 
Love breaks boundaries
Wewe unaangaika kulalama .
Sasa subiri hao wenye malengo tofauti ya kukuchezea na wewe urudi kwenu
Miaka 31 bado haujaolewa wala kujengewa au kutolewa out ya 5000/= (soda na stori)
Mwisho wa siku usilalamike kusema mwanaume hawajui kupenda
 
Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 wakati wewe unatumia simu ya zamani ya Nokia ya tochi isiyo na cover la nyuma, ambayo betri imeshikiliwa na rubber band, hlf button zimeumuka..huyo mdada unaemtoa out ana simu ya screen touch..hii scenario mm nliiona live..

Unamsomesha chuo mdada uliekutana nae ukubwani wakati hela zako ni za mawazo, hujui anakuwazia nn na ana malengo gani na ww..unavosomesha mpenzi wako uliekutana nae ukubwani, huna ndugu zako wenye shida?

Unamjengea mwanamke nyumba, kwenye kiwanja chake, wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga kama si ujinga huo ni nini? Eti Kwa kisingizio mtakuja kuishi wote kwenye hio nyumba, una uhakika gani?

Mnatafuta sifa kwa kugharamikia mambo makubwa kuliko uwezo wenu, hlf mkiachwa mnakuja kulalamika na kulia humu jf
ha ha ha ha ha naona umerudi kwa kasi ya 4G . Umeshapona kale ka ugonjwa??
 
Wewe mswahili wa wapi?hizi ni element za umaskini
 
Unamjengea mwanamke nyumba, kwenye kiwanja chake, wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga kama si ujinga huo ni nini? Eti Kwa kisingizio mtakuja kuishi wote kwenye hio nyumba, una uhakika gani?
Hili ni kosa kubwa sana, rafiki yangu(R.I.P) Alifanya jambo hili lilimsumbua sana, tena sana.
 
this is what we call UGLY TRUTH, yaani ukweli UNAOUMIZA NA UNAOKUJA HAUCHEKI NA KIMA.. SURA NGUMU. Asante kwa kumbusho Cute Cindy
 
Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 wakati wewe unatumia simu ya zamani ya Nokia ya tochi isiyo na cover la nyuma, ambayo betri imeshikiliwa na rubber band, hlf button zimeumuka..huyo mdada unaemtoa out ana simu ya screen touch..hii scenario mm nliiona live..

Unamsomesha chuo mdada uliekutana nae ukubwani wakati hela zako ni za mawazo, hujui anakuwazia nn na ana malengo gani na ww..unavosomesha mpenzi wako uliekutana nae ukubwani, huna ndugu zako wenye shida?

Unamjengea mwanamke nyumba, kwenye kiwanja chake, wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga kama si ujinga huo ni nini? Eti Kwa kisingizio mtakuja kuishi wote kwenye hio nyumba, una uhakika gani?

Mnatafuta sifa kwa kugharamikia mambo makubwa kuliko uwezo wenu, hlf mkiachwa mnakuja kulalamika na kulia humu jf
Baba yako mzazi alilijua hili kabala hajamuoa mama?
 
Back
Top Bottom