Hiyo ni bahati au chuma ulete?Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
Hiyo ni bahati au chuma ulete?Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
Mawazo mgando, kifupi kila mmoja huwa na standard zake ukishasema outing ya tsh 10 bila shaka kila mmoja atapata picha ya hali ya kimaisha ya mwanaume huyo.
Pia wewe kuiona aina ya simu atumiayo kwa wakati huo haimaniishi hali yake ni duni, na kwa taarifa yako hakuna watu mabahili kama matajiri haswa wale waliozitafuta kwa jasho lao. So never judge a book by its cover.
Wanaume wengi ama wachache? Labda wajinga wa mtaani kwenu...!Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 wakati wewe unatumia simu ya zamani ya Nokia ya tochi isiyo na cover la nyuma, ambayo betri imeshikiliwa na rubber band, hlf button zimeumuka..huyo mdada unaemtoa out ana simu ya screen touch..hii scenario mm nliiona live..
Unamsomesha chuo mdada uliekutana nae ukubwani wakati hela zako ni za mawazo, hujui anakuwazia nn na ana malengo gani na ww..unavosomesha mpenzi wako uliekutana nae ukubwani, huna ndugu zako wenye shida?
Unamjengea mwanamke nyumba, kwenye kiwanja chake, wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga kama si ujinga huo ni nini? Eti Kwa kisingizio mtakuja kuishi wote kwenye hio nyumba, una uhakika gani?
Mnatafuta sifa kwa kugharamikia mambo makubwa kuliko uwezo wenu, hlf mkiachwa mnakuja kulalamika na kulia humu jf
Humu kwenyewe wamejazana kibaooo.Ndo maana mashoga ni wengi duniani kuliko wasagaji halafu wanavyojitutumua humu sasa kumbe hawana lolote
Sasa huyo 1 ndiyo amekuleta mbio hapa kututuzi eti wengi tu wajinga..?Kwani outing ww unataka iwe ya sh ngap.. Ndo uiite outing, Elf 10 hapo unapata chips yai 2 mishkaki 4 na soda, tena kwenye restaurant nzuri tu ya kawaida..bado usafiri wa bodaboda ukute mwanaume anagharamia, so maybe elf 20 inakata..
Huyo Mwanaume nlimsoma usoni, nikaona kama vile hana raha na hayo mahusiano, though bidada alijaribu kuwa romantic Kwa kumlisha chakula huyo mwanaume, lkn mwanaume alikataa kulishwa..
Nlivoona kisimu anachotumia huyo mwanaume, gharama anazotumia, na simu anayotumia mdada, nlibanwa na kicheko ila nlijizuia kucheka.. Hlf hapo hapo ikaja couple ingine kwenye restaurant, both of them walionekana happy na walioridhika na uhusiano wao cute b
Jf hamna maskini banaaa usiniangushe!Ndogo hiyo?? Mbona mnatudharau maskini????
Humu kwenyewe wamejazana kibaooo.
Aisee interesting!
Naona hapo mke ni anatumika kukuzalishia wewe
But if she is smart na ana mkono wa biashara bado anaweza kukufunika na ile prenup agreement itakufunga mwenyewe
Na kikao kitafanyika saa saba kasoro includes Baba yake....NIMEKUSKIA.NGOJA NITAIPELEKA KWENYE KIKAO CHETU.
ILA UKOME KUTUITA SISI WAJINGA, WANAUME SISI NI WALIMU/ MAFUNDI NA LENGO LETU NI KUILA PAPUCHI KWAIO USIZIDHARAU NJIA TUNAZOZITUMIA
Sio ujinga hayo ni mapenzi
Utawalaumu sana wanaume. Mambo ya kuawawa kwa wanawake wengi wao wana midomo mirefu yaani unajibizana na mtu ambaye unajua hauna uwezo wa kumpiga halafu mpo wawili tu chumbani. Mumeo kashika simu kaona meseji za mapenzi au amekukosea lakini unajibizana naye. Unaanza kumtakana matusi makubwa makubwa mara mwanaume suruali wewe, mara kwani wakiitwa wanaume na wewe utapita mbele, hauna lolote, malaya mkubwa wewe, kwanza huyo mtoto siyo wako, ndiyo jana nilitomb*w unataka nini, tuachane (baada ya kupata ulichotaka), kwanza hunibabaishi kwa lolote n.k
Mwanamke ni kiumbe kinachothaminiwa sana na mwanaume ndiyo maana mwanamke anaweza kwenda mpaka Marekani asitumie shilingi yake. Unapoona mumeo kakushutumu au kakuudhi usijibizane naye hata kama ni kosa ni lake. Mjibu kwa upole na usimpandishie hata kama umemchoka au kosa ni lake. Hata kama alikuwa anataka kukupiga ataacha. Wanawake wengi wa sasa hawajui kuishi kwenye ndoa zao yaani yeye akigombana na mpenzi wake naye anaporomosha matusi makubwa mengine mpaka yanakera. Unamwambia mwenzako huyu siyo mtoto wako unategemea atakufanya nini wakati amemgharamia mtoto akiwa tumboni na wewe mpaka mtoto anafika miaka 6 lazima akufanye vibaya.
Kuna kisa kimoja cha jirani yetu yeye aliua mke na yeye kujiua. Huyu mwanamke aliolewa akiwa na watoto wawili kwahiyo baada ya kukutana na jamaa wakaanza maisha mpaka wakajenga na kupata watoto. Sasa kisa kilianza baada ya mwanamke kuanzisha biashara ya genge la chakula alipata pesa. Akaanza kujenga nyumba kisirisiri ili akimaliza ahame na ampige chini jamaa. Ikasemaka tena mwanamke alikuwa anatoka na mwanaume mwingine kwahiyo heshima ikashuka ndani. Usiku wa tukio usiku, mtoto anasema alisikia kama wanazozana ndani baba yake na mama yake baadae akasikia kimya. Kumbe mke alipigwa shoka ya kichwa na mwanaume akajinyonga kwa kamba. Asubuhi jamaa wakamkuta amekufa na mwanamke anapumua kwa shida. Wakampeleka bugando ICU baada ya siku akawa amefariki.
N.B
Mauaji mengi yanatokea pale mwanamke anapoanza naye kujibu mbovu. Mwanaume kakasirika anatukana naye mwanamke anapandisha anaanza kujibu mbovu mara huna jipya, tuachane, huyu mtoto siyo wako, kwani na wewe ni mwanaume katika wanaume, kwanza kitandani hujiwezi, tunakula nini hapa n.k Wanawake mtaendelea kuawawa sana. Ukiona mumeo kapandisha hasira chunga kinywa chako na kuwa mpole yaani jishushe uwe kama priton sababu hauna uwezo wa kumpiga halafu kibaya zaidi mpo wawili. Bora umtukane kwenye kundi la watu maana hapo kuna watu watakutetea.
HAKUNA MTU MWENYE HAKI YA KUTOA UHAI WA MWENZAKE
He kaka wakiitwa wa kushobokewa na wewe utatoka? Punguza vichambo mtoto wa kiume utavalishwa chupi shauri yako au umeshaanza kushikishwa ukuta?
na huu ndo ukweli sema anazunguka😀😀Duuuuh!hili bandiko naona kama kuna mtu umemlenga na kwako kapotea njia,na sasa unamchora tu huku ukiwa unatikisa miguu[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Mtu yuko na keyboard yake utamwambia nini😂i never imagined this side of yours!
....hehehe ngoja tuchunge vidole
Mimi hapa maskiniJf hamna maskini banaaa usiniangushe!