Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,315
- 8,750
stopped!I stop reading after
stopped!I stop reading after
Sure.Me too.
Just wastage of time.
Chips moja elfu 10[emoji44]?Hiyo 10,000 nilikwambia nitumie nikanunue chipsi mwenyewe pale kwenye mabanda nikalie nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kutoka out na mwanaume kwa 10,000tzs ni matumizi mabaya ya Fedheha.
I like eating inNikutoe basi out [emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Huu uzi unaonyesha wanawake mlivyo wajinga.Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 wakati wewe unatumia simu ya zamani ya Nokia ya tochi isiyo na cover la nyuma, ambayo betri imeshikiliwa na rubber band, hlf button zimeumuka..huyo mdada unaemtoa out ana simu ya screen touch..hii scenario mm nliiona live..
Unamsomesha chuo mdada uliekutana nae ukubwani wakati hela zako ni za mawazo, hujui anakuwazia nn na ana malengo gani na ww..unavosomesha mpenzi wako uliekutana nae ukubwani, huna ndugu zako wenye shida?
Unamjengea mwanamke nyumba, kwenye kiwanja chake, wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga kama si ujinga huo ni nini? Eti Kwa kisingizio mtakuja kuishi wote kwenye hio nyumba, una uhakika gani?
Mnatafuta sifa kwa kugharamikia mambo makubwa kuliko uwezo wenu, hlf mkiachwa mnakuja kulalamika na kulia humu jf
Me too.
Just wastage of time.
Naona mnatema yai tu..nifundisheni na mimiI stop reading after "Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 "
Elfu kumi tena ni chipsi kavu.Chips moja elfu 10[emoji44]?
Utawalaumu sana wanaume. Mambo ya kuawawa kwa wanawake wengi wao wana midomo mirefu yaani unajibizana na mtu ambaye unajua hauna uwezo wa kumpiga halafu mpo wawili tu chumbani. Mumeo kashika simu kaona meseji za mapenzi au amekukosea lakini unajibizana naye. Unaanza kumtakana matusi makubwa makubwa mara mwanaume suruali wewe, mara kwani wakiitwa wanaume na wewe utapita mbele, hauna lolote, malaya mkubwa wewe, kwanza huyo mtoto siyo wako, ndiyo jana nilitomb*w unataka nini, tuachane (baada ya kupata ulichotaka), kwanza hunibabaishi kwa lolote n.kTrue kabisa halafu yule mdada aliyekisaidia kama kakusomesha kakugharamia kwa kila kitu hujui alijinyima mangapi ila wewe unaenda oa mwingine ambaye hajakugharamia chochote.
Halafu unaenda kudhania utamwoa hata na yeye atakuchuna nakukuacha kabisa na utabakia mtupu chote ulichosotewa na wazazi au yule mdada uliyemliza laana zao zote zitakupata na wala hutokaa uendelee acheni kuwa na roho mbaya wanaume wakileo kuweni na utu mioyoni mwenu.
Kabisa maisha ni utu mengine yanafuata.
😳😱😱😱
Dah...chips zege 2 buku8....soda2 alfu Mia 4...chenji 600...Safi sanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I stopped reading after "Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 "
Pongezi ziende kwa serekali ya awamu ya tano[emoji23][emoji23][emoji23]Dah...chips zege 2 buku8....soda2 alfu Mia 4...chenji 600...Safi sanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa!
Anakuwa anafanya kwa mapenzi...kwa kidogo alichonacho anajaribu kumfanya mpenzi wake ajisikie na uspecial fulani
Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 wakati wewe unatumia simu ya zamani ya Nokia ya tochi isiyo na cover la nyuma, ambayo betri imeshikiliwa na rubber band, hlf button zimeumuka..huyo mdada unaemtoa out ana simu ya screen touch..hii scenario mm nliiona live..
Unamsomesha chuo mdada uliekutana nae ukubwani wakati hela zako ni za mawazo, hujui anakuwazia nn na ana malengo gani na ww..unavosomesha mpenzi wako uliekutana nae ukubwani, huna ndugu zako wenye shida?
Unamjengea mwanamke nyumba, kwenye kiwanja chake, wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga kama si ujinga huo ni nini? Eti Kwa kisingizio mtakuja kuishi wote kwenye hio nyumba, una uhakika gani?
Mnatafuta sifa kwa kugharamikia mambo makubwa kuliko uwezo wenu, hlf mkiachwa mnakuja kulalamika na kulia humu jf
Aisee, umeenda op kabisa na alichokiandika mleta mada.True kabisa halafu yule mdada aliyekisaidia kama kakusomesha kakugharamia kwa kila kitu hujui alijinyima mangapi ila wewe unaenda oa mwingine ambaye hajakugharamia chochote.
Halafu unaenda kudhania utamwoa hata na yeye atakuchuna nakukuacha kabisa na utabakia mtupu chote ulichosotewa na wazazi au yule mdada uliyemliza laana zao zote zitakupata na wala hutokaa uendelee acheni kuwa na roho mbaya wanaume wakileo kuweni na utu mioyoni mwenu.
Kabisa maisha ni utu mengine yanafuata.
[emoji15][emoji33][emoji33][emoji33]
Nilicho muelewa hapa yani uwezo wako mdogo lakini unajikakamua ili ukubalike.
Mfano unavaaa kiatu kilichopinda kutokana na uwezo wako ila kwa mpenzi unafokoa tu bajeti yako
Hata Uchebe kipindi yupo kwenye uchumba na Shishi alionekana mjinga na kazi yake ya ufundi gereji, anaingiza pesa kidogo isiyozidi elfu 20 anampa Shishi ambaye ana miliki mgahawa mkubwa pamoja na pesa zingine kupitia muziki na uigizaji ,lakini leo hii Uchebe kawa mtu mwingine kabisa kupitia huyo huyo Shishi.Kabisa!
Anakuwa anafanya kwa mapenzi...kwa kidogo alichonacho anajaribu kumfanya mpenzi wake ajisikie na uspecial fulani
Na hii ndio sifa ya mwanaume kamili.Umetukumbusha mkuu,ingawa sisi wengine huwa tuko 'simple' ila wake zetu na watoto lazima wawe classic kimuonekano kuanzia mjengo,usafiri,n.k;muonekano wao nje unatupa heshima sisi tusiopenda show off.