Wanaume wengi ni wajinga

Wanaume wengi ni wajinga

Kwani outing ww unataka iwe ya sh ngap.. Ndo uiite outing, Elf 10 hapo unapata chips yai 2 mishkaki 4 na soda, tena kwenye restaurant nzuri tu ya kawaida..bado usafiri wa bodaboda ukute mwanaume anagharamia, so maybe elf 20 inakata..

Huyo Mwanaume nlimsoma usoni, nikaona kama vile hana raha na hayo mahusiano, though bidada alijaribu kuwa romantic Kwa kumlisha chakula huyo mwanaume, lkn mwanaume alikataa kulishwa..

Nlivoona kisimu anachotumia huyo mwanaume, gharama anazotumia, na simu anayotumia mdada, nlibanwa na kicheko ila nlijizuia kucheka.. Hlf hapo hapo ikaja couple ingine kwenye restaurant, both of them walionekana happy na walioridhika na uhusiano wao cute b
Hivi wewe Cute Cindy unajua maana ya kumtoa mtu "outing"???

Ukiwa na 10,000 unamnunulia mtu chakula na sio Outing. Na pia sio hela ya mwanaume kutoa kwa ajili ya mwanamke na kuja kulia lia.
 
Nilivyosoma heading nilipanic nilivyosoma uzi nimekubali kabisa Kama Ni sisi tunafanya haya basi Ni wajinga
 
Tena siyo sehemu ya maana , ni zile chips za barabarani kwenye mabanda. Unanunua unakaa kwenye bench la mabanzi, au unafunga unaenda kulia nyumbani.

Sasa hapo mtu na 10,000 anakwambia babe jiandae jioni tunatoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Savanna moja hyo....sasa unakuta ngoma inapiga savanna 4, bado hajapata samaki makavu na tuchips tuwiwil tutatu..
 
Kwani outing ww unataka iwe ya sh ngap.. Ndo uiite outing, Elf 10 hapo unapata chips yai 2 mishkaki 4 na soda, tena kwenye restaurant nzuri tu ya kawaida..bado usafiri wa bodaboda ukute mwanaume anagharamia, so maybe elf 20 inakata..

Huyo Mwanaume nlimsoma usoni, nikaona kama vile hana raha na hayo mahusiano, though bidada alijaribu kuwa romantic Kwa kumlisha chakula huyo mwanaume, lkn mwanaume alikataa kulishwa..

Nlivoona kisimu anachotumia huyo mwanaume, gharama anazotumia, na simu anayotumia mdada, nlibanwa na kicheko ila nlijizuia kucheka.. Hlf hapo hapo ikaja couple ingine kwenye restaurant, both of them walionekana happy na walioridhika na uhusiano wao cute b
Acha umbea mtoto wa kiume.
 
Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 wakati wewe unatumia simu ya zamani ya Nokia ya tochi isiyo na cover la nyuma, ambayo betri imeshikiliwa na rubber band, hlf button zimeumuka..huyo mdada unaemtoa out ana simu ya screen touch..hii scenario mm nliiona live..

Unamsomesha chuo mdada uliekutana nae ukubwani wakati hela zako ni za mawazo, hujui anakuwazia nn na ana malengo gani na ww..unavosomesha mpenzi wako uliekutana nae ukubwani, huna ndugu zako wenye shida?

Unamjengea mwanamke nyumba, kwenye kiwanja chake, wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga kama si ujinga huo ni nini? Eti Kwa kisingizio mtakuja kuishi wote kwenye hio nyumba, una uhakika gani?

Mnatafuta sifa kwa kugharamikia mambo makubwa kuliko uwezo wenu, hlf mkiachwa mnakuja kulalamika na kulia humu jf
True kabisa halafu yule mdada aliyekisaidia kama kakusomesha kakugharamia kwa kila kitu hujui alijinyima mangapi ila wewe unaenda oa mwingine ambaye hajakugharamia chochote.
Halafu unaenda kudhania utamwoa hata na yeye atakuchuna nakukuacha kabisa na utabakia mtupu chote ulichosotewa na wazazi au yule mdada uliyemliza laana zao zote zitakupata na wala hutokaa uendelee acheni kuwa na roho mbaya wanaume wakileo kuweni na utu mioyoni mwenu.
Kabisa maisha ni utu mengine yanafuata.
😳😱😱😱
 
Siyo wote huwa tunakuja kulalamika huku.
Mume wa Naomi sidhani kama alikuja huku.
Hivi kama humtaki au huna malengo na mtu si unamtema mapema kabla hajaanza kuwekeza!
Huo ni ulaghai na kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu Ni jinai ila kwa kuwa hakuna sheria basi jungle Justice itawahusu sana.
Naomi alifanya kosa gani kwa mumewe?
 
Unamtoa mdada outing ya tsh elf 10 wakati wewe unatumia simu ya zamani ya Nokia ya tochi isiyo na cover la nyuma, ambayo betri imeshikiliwa na rubber band, hlf button zimeumuka..huyo mdada unaemtoa out ana simu ya screen touch..hii scenario mm nliiona live..

Unamsomesha chuo mdada uliekutana nae ukubwani wakati hela zako ni za mawazo, hujui anakuwazia nn na ana malengo gani na ww..unavosomesha mpenzi wako uliekutana nae ukubwani, huna ndugu zako wenye shida?

Unamjengea mwanamke nyumba, kwenye kiwanja chake, wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga kama si ujinga huo ni nini? Eti Kwa kisingizio mtakuja kuishi wote kwenye hio nyumba, una uhakika gani?

Mnatafuta sifa kwa kugharamikia mambo makubwa kuliko uwezo wenu, hlf mkiachwa mnakuja kulalamika na kulia humu jf
Kwa hayo yote unawaona ni wajinga [emoji44][emoji44][emoji44]
 
Back
Top Bottom