Wanaume wengi ni sumu katika mahusiano

Ukitaka kujua siri nyingi,marafiki wakosane
Hapo tutayajua mengi
 
Na wanaume wastaarabu waungwana wapole wake zao pasua kichwa hawajui thamani ya waume zao.
Kiasili mwanamke upenda mwanaume dikteta.
Wanaume wazuri wachache mno wanaothamin watoto na mama zao na kuachana kwa amani
 
Kwani kwenye mahojiano hayo, huyo mwanamke alisemaje kumhusu Dr Mwaka?
 
Mwaka na manara wanaolea jamii na sio kuoa kwa maana ya kujua maana ya ndoa.
Mwaka nadhan alioa kwaajili ya biashara yake
Na nguvu zenyewe hana
 
Wanaume wazuri wachache mno wanaothamin watoto na mama zao na kuachana kwa amani
Mimi nikiacha taendelea kutunza mke na watoto.
Nachokimbia ni stress upasua kichwa na sio kuacha kutunza,
 
Nielewe tena , ukiona mwanaume mbaya kwa mwanamke ujue ubaya umetoka kwa mwanamke, hakuna mwanamke mwema anae Kutana na ubaya wa mwanaume.
Labda wewe tu mkuu,wako wanawake wema na wanakutana na ubaya wa mwanaume vilevile,
KImoja ujue sio kila mwanaume anaeoa anaoa akiwa tayari kuwa baba au kuwa mume na shida huanzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…