Wanaume wengi ni katili sana kulinganisha na wanawake

Wanaume wengi ni katili sana kulinganisha na wanawake

mkuu Robert Heriel Mtibeli , jinsi wanawake walivyo kiakili, je akikutaa alafu wewe mwanaume ukaamua kutomlazimisha, yaani baada ya yeye kukukataa ukaacha mawasiliano nae ukaendelea na maisha yako, hivi kitendo cha wewe kutomlazimisha huwa inamuuma mwanamke aliyekukataa ata kama tayari ana mwanaume wake?

Mkuu Mimi hiyo haitanihusu,
Alafu simkaushii ili nimuumize Bali kwa sababu naheshimu uamuzi wake
 
Unatupa picha kwamba uliingia kwny mahusiano sio Kwa upendo,Bali nguvu ya ushawishi na kumhurumia[emoji848]
 
Sasa hayo ni makubaliano yenu nyie wawili, haya hebu tuelezee imekuwaje ghafla wanaume wote tukaingia kundi la watu makatili?

Kwahiyo wewe umkubalie mtu aliyekutongoza kwa hiyari yako then akugeuke uje ulaumu wengine ambao hata hatukujui kwa sura?!

Kwann usiseme wanaume ninao kutana nao mimi ni makatili au sema fulani na fulani na fulani ambao nilikuwa nao kimahusiano ni watu makatili sana.
 
Mbona inaeleweka sana!
Yaani kama umeamua kuchumbia au kuoa, inabidi uwe tayari kwa mazuri na mabaya. Na ikitokea mtu uliyemchumbia hakupi matokeo uliyotarajia, haipaswi kumchukia kwasababu hakukulazimisha uwe naye! Kama mnaachana muachane kwa amani na sio kumtafutia visa na kumnyanyasa kisa tu ulimtunza au kumpa mahitaji
Hapa nadhn inategemea mmeachana vp,
Kuna baadhi ya ke ukishawatunza wanajitutumua sn
 
Na wewe umesahau ukatili wa kijinsia uliomfanyia jamaa yetu hivi majuzi?

Umemuita mpaka ghetto kwako alafu ukaishia kumnyima mbususu? Unajua maumivu aliyoenda nayo jamaa yetu?

Upigwe matukio mpaka ukome.
Halafu kesho na kesho kutwa jamaa akipata nafasi akija mzingua anasema wanaume makatili kumbe amerudishiwa ukatili wake aliofanya awali.
 
........kuna mawili hapa either kuna jambo very sensitive ukitaka kusema kuhusu ukatili wa wanaume Kwa wanawake na umeamya kulificha Kwa makusudi tu ...au umehindwa kuliwasilisha vizuri Kwa bahati mbaya....... ........kuna ukatili na unyanyasaji, kwa issue ya ukatili naweza kubaliana na wewe tuna record nzuri kidogo, ila unyanyasaji ndani ya ndoa wanawake mnaongoza na wanaume wamekuwa wavumilivu sana, ndo hadi watu wanakuja na kampeni za kupinga ndoa.......
Umegeuza maneno, wanawake ndio makatili na wanyanyasaji kwa kiasi fulani.

Ukatili ni kufanya matendo ya kumuumiza mwingine hata pasipo hatia ili tu umpe hisia za maumivu na kuteseka. Hii kitu ndio wanawake hupenda kufanya kwa wanaume.

Kunyanyasa ni tofauti unakuwa unamuendesha mtu kihisia ili akufanyie jambo fulani au atimize jambo fulani ila sio lazima iwe kumfanya aumie kihisia.
 
mkuu Robert Heriel Mtibeli , jinsi wanawake walivyo kiakili, je akikutaa alafu wewe mwanaume ukaamua kutomlazimisha, yaani baada ya yeye kukukataa ukaacha mawasiliano nae ukaendelea na maisha yako, hivi kitendo cha wewe kutomlazimisha huwa inamuuma mwanamke aliyekukataa ata kama tayari ana mwanaume wake?
Hapo umeuliza swali au umetoa statement?
 
Kuna baadhi ya Wanaume wakatili sana lakini ndo washakuwa binadamu tuwasamehe tu na suala la kusimanga linauma sana 😂😂😂
 
Jambo la kawaida kumsimanga mwanamke kwasababu ulimpa pesa au vitu?
nani kasimangwa ?! Manamake mengi ni mabinafsi kwendeni zenu. Hapo utakuta limerekebishwa lisitumie vibaya fedha lenyewe linasema limesimangwa. Pia akili wanawake hua hawana ni majinga majinga tu.
Screenshot_20220316-152322_Chrome Beta.jpg
 
Na wewe umesahau ukatili wa kijinsia uliomfanyia jamaa yetu hivi majuzi?

Umemuita mpaka ghetto kwako alafu ukaishia kumnyima mbususu? Unajua maumivu aliyoenda nayo jamaa yetu?

Upigwe matukio mpaka ukome.
😳🙄
 
Back
Top Bottom