Wanaume wengi ni katili sana kulinganisha na wanawake

Mtu akishasema hataki unamshawishi kitu gani?
Kubembeleza bembeleza Sana nako NI kujivunjia tuu heshima.

Yaani unamtongoza Dada MTU mzima let say anamiaka 25+ alafu amekukatalia na ametoa sababu zake, bado uendelee kumshawishi😂😂 huo nao ni utoto.

Mambo hayo tuliyafanya tukiwa Sekondari,

Sisi wengine tunajua Mwanamke akisema hapana tunaamini na kuheshimu hapana yake, akisema ndio tunaamini na kuiheshimu ndio yake.

Vijana lazima wafundishwe, MTU mzima habembelezwi wala hashawishiwi tena kwenye ishu ya Ndoa ndio kabisa a
Hujawahi kuwa na alosto na mbunye wewe. Kuna vidume vinaliaga kabisa ili vihurumiwe na kupewa mbunye 😀
 
Hakuitwa. Alijipeleka mwenyewe.
Isitoshe ni mbishi. Anaambiwa kupima afya hataki. Na wakati ni mtu na mke wake na bado ana wengine wengi.
Basi kwa maelezo haya huyo mwamba lazima atakuchapa siku sio nyingi trust me, yaamini maneno yangu soon unaenda kumuachia akague je pameiva au bado
 
He expected something big from you and at the end he was disappointed and thats how the game start 😂😂😂😂😂😂😂 na mapichapicha ehehe
 
Habari! Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, kama kuna wagonjwa poleni sana; nawaombea mpate afya haraka kwa uwezo wa Mola!

Sasa, leo naomba tuzungumze kidogo kuhusu tabia za baadhi ya wanaume. Kama tujuavyo wengi, kwa mila na desturi za kiafrika; mwanaume ndiye huanza kutafuta au kutaka mahusiano na mwanamke. Mwanamke anaweza asiwe tayari kutokana na sababu mbalimbali lakini mwanaume anaweza kutumia mbinu za ushawishi ili awe na huyo mwanamke.

Baada ya muda mwanamke anaamua kukubalia kuwa na mahusiano na huyo mwanaume. Ni jambo la kawaida kwasababu za kimaumbile, si rahisi kuishi peke yako siku zote.

Cha ajabu ni kwamba baada ya muda kupita, mwanaume yule yule aliyetumia kila aina ya ushawishi kumpata mwanamke aliyemhitaji, anaanza kumdharau, kumtesa na pengine hata kumsimanga kwa yale aliyomfanyia. Mfano pesa, mtaji wa biashara nk. Huu ni ukatili.

Mwanaume unapoamua kumshawishi mtu kwa namna yoyote ile, inabidi ujiandae kwa matokeo utakayoyapata! Usianze kulalamikia pesa au mali ulizotumia kwa ajili yake. Huo ni ukatili wa kihisia!
HII THREAD INGEKUA VICE VERSA HUU UZI UNGE FUTWA...😂😂😂🤣🤣🤣
 
Akisema sina na kweli akawa hana,ukatili unakua wapi,? hapo wewe ndio unakua mkatili sababu wakt huo unatakiwa umtie moyo sio kulalamika
 
Kweli wanaume ni makatili mwanamke unaweza ukamkuta na watoto wawili tayari kashazalishwa ukawasomesha na ukawapenda wote ila yeye wa kwako mmoja tu atamtesa mpaka basi na chakula atamnyima

Mwanamke akija mama yake anakuwa na furaha atapika vyakula vizuri ila akija mama wa mume wake ananuna bila sababu mara utasikia anaumwa ili tu asipike mchana watu washinde njaa.

Kweli wanaume makatili sana .
 
You can't ask an abuser not to abuse you!

It's like asking water not to make you wet while you swim in it!!
 
Kwa hiyo hela yangu umekula halafu nikilalamika unasema ni ukatili? Nani katili hapo?
 
Habari! Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, kama kuna wagonjwa poleni sana; nawaombea mpate afya haraka kwa uwezo wa Mola!

Sasa, leo naomba tuzungumze kidogo kuhusu tabia za baadhi ya wanaume. Kama tujuavyo wengi, kwa mila na desturi za kiafrika; mwanaume ndiye huanza kutafuta au kutaka mahusiano na mwanamke. Mwanamke anaweza asiwe tayari kutokana na sababu mbalimbali lakini mwanaume anaweza kutumia mbinu za ushawishi ili awe na huyo mwanamke.

Baada ya muda mwanamke anaamua kukubalia kuwa na mahusiano na huyo mwanaume. Ni jambo la kawaida kwasababu za kimaumbile, si rahisi kuishi peke yako siku zote.

Cha ajabu ni kwamba baada ya muda kupita, mwanaume yule yule aliyetumia kila aina ya ushawishi kumpata mwanamke aliyemhitaji, anaanza kumdharau, kumtesa na pengine hata kumsimanga kwa yale aliyomfanyia. Mfano pesa, mtaji wa biashara nk. Huu ni ukatili.

Mwanaume unapoamua kumshawishi mtu kwa namna yoyote ile, inabidi ujiandae kwa matokeo utakayoyapata! Usianze kulalamikia pesa au mali ulizotumia kwa ajili yake. Huo ni ukatili wa kihisia!
Husika kwenye upatikanaji wa pesa na huyo mwanaume wako ,wala huo unaosema ni ukatili huta uona , tatizo ni pale umekuta mtu ana mali zake hujashiriki chchte ,ila una taka kuwa parasite lazima unyanyasike na kuchukuliwa poa.
 
........kuna mawili hapa either kuna jambo very sensitive ukitaka kusema kuhusu ukatili wa wanaume Kwa wanawake na umeamya kulificha Kwa makusudi tu ...au umehindwa kuliwasilisha vizuri Kwa bahati mbaya....... ........kuna ukatili na unyanyasaji, kwa issue ya ukatili naweza kubaliana na wewe tuna record nzuri kidogo, ila unyanyasaji ndani ya ndoa wanawake mnaongoza na wanaume wamekuwa wavumilivu sana, ndo hadi watu wanakuja na kampeni za kupinga ndoa.......
 
Habari! Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, kama kuna wagonjwa poleni sana; nawaombea mpate afya haraka kwa uwezo wa Mola!

Sasa, leo naomba tuzungumze kidogo kuhusu tabia za baadhi ya wanaume. Kama tujuavyo wengi, kwa mila na desturi za kiafrika; mwanaume ndiye huanza kutafuta au kutaka mahusiano na mwanamke. Mwanamke anaweza asiwe tayari kutokana na sababu mbalimbali lakini mwanaume anaweza kutumia mbinu za ushawishi ili awe na huyo mwanamke.

Baada ya muda mwanamke anaamua kukubalia kuwa na mahusiano na huyo mwanaume. Ni jambo la kawaida kwasababu za kimaumbile, si rahisi kuishi peke yako siku zote.

Cha ajabu ni kwamba baada ya muda kupita, mwanaume yule yule aliyetumia kila aina ya ushawishi kumpata mwanamke aliyemhitaji, anaanza kumdharau, kumtesa na pengine hata kumsimanga kwa yale aliyomfanyia. Mfano pesa, mtaji wa biashara nk. Huu ni ukatili.

Mwanaume unapoamua kumshawishi mtu kwa namna yoyote ile, inabidi ujiandae kwa matokeo utakayoyapata! Usianze kulalamikia pesa au mali ulizotumia kwa ajili yake. Huo ni ukatili wa kihisia!
Yamekukuta?
 
Na wewe umesahau ukatili wa kijinsia uliomfanyia jamaa yetu hivi majuzi?

Umemuita mpaka ghetto kwako alafu ukaishia kumnyima mbususu? Unajua maumivu aliyoenda nayo jamaa yetu?

Upigwe matukio mpaka ukome.
Hahahahaha
 
Wanawake ni wengi Sana Mkuu.
Hata niwe Arosto vipi kumshawishi MTU aliyekataa huo muda sinaga.
mkuu Robert Heriel Mtibeli , jinsi wanawake walivyo kiakili, je akikutaa alafu wewe mwanaume ukaamua kutomlazimisha, yaani baada ya yeye kukukataa ukaacha mawasiliano nae ukaendelea na maisha yako, hivi kitendo cha wewe kutomlazimisha huwa inamuuma mwanamke aliyekukataa ata kama tayari ana mwanaume wake?
 
Back
Top Bottom