Wanaume wazidi kuadimikia Wilayani Rombo

Hbr za jioni Wapendwa wana JF wenzangu??,Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kuwa Wilaya ya Rombo,mkoa wa Kilimanjaro kuna shida sana ya ulevi,hivyo kupelekea akina Baba kutowajibika vema ktk majukumu ya familia km Baba.

Leo katika kufuatilia kipindi cha RIPOTI MAALUMU kinacholetwa na ITV,nimeona jinsi ulevi ulivyokithiri huko Rombo ambapo akina mama wanalalamika kuwa Waume zao hawatimizi majukumu yao ktk familia,wamekuwa legelege,kazi za Kutumia nguvu hawawezi kuzifanya,Mama mmoja amesikika akisema kuwa hata mambo ya chumbani hawawezi tena (poor performance).

Mwanaume mmoja alipoulizwa kuhusu hali hiyo hususani kushindwa kuwahudumia wake zao Mambo ya ndoa,alijibu kuwa yeye hana muda wala interest na Mambo ya ndoa.

Bibi mmoja alipoulizwa kuhusu hali hiyo amesema anasikitika kwasababu kizazi hicho kinaelekea mwisho kwasababu Wanaume wanazidi kuisha huko Rombo hivyo itakuwa vigumu kupata watoto kutokana na ulevi uliopindukia.

Aidha Ktk mahojiano ya mwandishi na vijana wengi,imeonekana kuwa vijana wengi wa kiume wameachana na wake zao kutokana na ulevi hivyo Wanaume hao wanalelewa na mama zao, huku watoto wao wakiishi na wake zao.

My take: Vijana wa Kiume kutoka Mikoa mingine twendeni Rombo tukawasaidie Wanaume wenzetu walevi kuwahudumia wake zao ili kizazi cha Rombo kiwe endelevu.

Chanzo: RIPOTI MAALUMU-ITV
Tatizo la ulevi lipo katika wilaya hiyo lakini sio kwa kiwango hicho.
 
Njooni wapo wa kumwaga kabisa. Bora salip tu maana vijana wengi wa huku hakuna mishe ya maana.
Sawa Chifu, ngoja tutie magumu hapo.Tusiwape. Nafasi wakenya tusije pata damu za Kikenya.
 
Tatizo la ulevi lipo katika wilaya hiyo lakini sio kwa kiwango hicho.
Siku ITV wamekuja huku, hiyo ndio ilikuwa target yao walipita kwa DED akawaelekeza waje kwa WEO fulani hapa ambaye huko katani kwake ndio wanapika mpaka gongo akawapeleka huko wanakouza.

Ni kweli huku pombe inaliwa, ila wanaopata hasara ni wale ambao wamekuwa mateja wa pombe maana siyo kila mmoja anahimili.

Huku hakuna biashara nyingine ya maana sana zaidi ya pombe na kitimoto.
 
Hbr za jioni Wapendwa wana JF wenzangu??,Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kuwa Wilaya ya Rombo,mkoa wa Kilimanjaro kuna shida sana ya ulevi,hivyo kupelekea akina Baba kutowajibika vema ktk majukumu ya familia km Baba.

Leo katika kufuatilia kipindi cha RIPOTI MAALUMU kinacholetwa na ITV,nimeona jinsi ulevi ulivyokithiri huko Rombo ambapo akina mama wanalalamika kuwa Waume zao hawatimizi majukumu yao ktk familia,wamekuwa legelege,kazi za Kutumia nguvu hawawezi kuzifanya,Mama mmoja amesikika akisema kuwa hata mambo ya chumbani hawawezi tena (poor performance).

Mwanaume mmoja alipoulizwa kuhusu hali hiyo hususani kushindwa kuwahudumia wake zao Mambo ya ndoa,alijibu kuwa yeye hana muda wala interest na Mambo ya ndoa.

Bibi mmoja alipoulizwa kuhusu hali hiyo amesema anasikitika kwasababu kizazi hicho kinaelekea mwisho kwasababu Wanaume wanazidi kuisha huko Rombo hivyo itakuwa vigumu kupata watoto kutokana na ulevi uliopindukia.

Aidha Ktk mahojiano ya mwandishi na vijana wengi,imeonekana kuwa vijana wengi wa kiume wameachana na wake zao kutokana na ulevi hivyo Wanaume hao wanalelewa na mama zao, huku watoto wao wakiishi na wake zao.
frusa iko afgasntani wenze rwanda wana changamkia frusa tukaangaike rombo huyu mama nae frusa nyingi zina tupita wadada wa afgasintan hawna pa kwenda
My take: Vijana wa Kiume kutoka Mikoa mingine twendeni Rombo tukawasaidie Wanaume wenzetu walevi kuwahudumia wake zao ili kizazi cha Rombo kiwe endelevu.

Chanzo: RIPOTI MAALUMU-ITV
fr
 
Back
Top Bottom