Wanaume wazidi kuadimikia Wilayani Rombo

Kuna mzee mmoja yuko huku niliko ni mchaga kastafu jeshi ila anavyoishi ni kma msela!

Yani mkewe yuko Moshi ila yeye yuko mkoa mwingine yani mwaka unapita hajaonana na mkewe na hana anachokifanya!
[emoji23][emoji23][emoji23], Atakuwa ni WA ROMBO, maana ndo nature ya Wanaume wa ROMBO.
 
Kwa huku, kutokea Tarakea-Rombo mpaka Nairobi ni Ksh 600 ambayo ni kama Tsh 10,000.

Kenya Mirungi inaruhusiwa wakati kwa Tanzania ni haramu.

Kwahiyo wabongo watafuna mirungi wanaenda kutafunia kwenye Bar za Kenya kwa uhuru au wakinunua huku wanatafuna kwa kujificha ficha.
Dah!!!,Mambo ya ujirani mwema hayo.
 
Unavuka tu border wala hawakuulizi chochote. Labda kama ukipanda gari kwenda huko mbele maana nasikia wanaweza kusimamisha gari kukagua documents.

Hapo mpakani hata ukivuka mpaka kilometer 3 hawaulizi
Ok
 
Hbr za jioni Wapendwa wana JF wenzangu??,Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kuwa Wilaya ya Rombo,mkoa wa Kilimanjaro kuna shida sana ya ulevi,hivyo kupelekea akina Baba kutowajibika vema ktk majukumu ya familia km Baba.

Leo katika kufuatilia kipindi cha RIPOTI MAALUMU kinacholetwa na ITV,nimeona jinsi ulevi ulivyokithiri huko Rombo ambapo akina mama wanalalamika kuwa Waume zao hawatimizi majukumu yao ktk familia,wamekuwa legelege,kazi za Kutumia nguvu hawawezi kuzifanya,Mama mmoja amesikika akisema kuwa hata mambo ya chumbani hawawezi tena (poor performance).

Mwanaume mmoja alipoulizwa kuhusu hali hiyo hususani kushindwa kuwahudumia wake zao Mambo ya ndoa,alijibu kuwa yeye hana muda wala interest na Mambo ya ndoa.

Bibi mmoja alipoulizwa kuhusu hali hiyo amesema anasikitika kwasababu kizazi hicho kinaelekea mwisho kwasababu Wanaume wanazidi kuisha huko Rombo hivyo itakuwa vigumu kupata watoto kutokana na ulevi uliopindukia.

Aidha Ktk mahojiano ya mwandishi na vijana wengi,imeonekana kuwa vijana wengi wa kiume wameachana na wake zao kutokana na ulevi hivyo Wanaume hao wanalelewa na mama zao, huku watoto wao wakiishi na wake zao.

My take: Vijana wa Kiume kutoka Mikoa mingine twendeni Rombo tukawasaidie Wanaume wenzetu walevi kuwahudumia wake zao ili kizazi cha Rombo kiwe endelevu.

Chanzo: RIPOTI MAALUMU-ITV
Kwa namna akina mama wa kichaga walivyo wachafu kitabia japo si wote, nadhani watu wamewastukia na kuacha kuwaoa kiasi cha kuanza kukosa wenzao wa kuwaoa.
 
Kuna mzee mmoja yuko huku niliko ni mchaga kastafu jeshi ila anavyoishi ni kma msela!

Yani mkewe yuko Moshi ila yeye yuko mkoa mwingine yani mwaka unapita hajaonana na mkewe na hana anachokifanya!
Wachagga wamezoea kuishi hivyo. Wao ni pombe tu.

Yaani kumkuta mchagga mama au baba ana beef zito kabisa na mwanae ni kitu cha kawaida tu.

Mimi nilivyofika tu huku, nilikuta mwenyeji wangu huku wanataka kucheza deal la kuuza shamba la mchagga.

Kilimanjaro ardhi ni ya shida sana, yaani mzee akitaka kuuza shamba ni mpaka ukoo ukae uamue.

Sasa kuna jamaa akawa anataka kujifanya shamba ameliweka bond kwa huyo jamaa yangu, kwa kiasi cha pesa ambacho anajua wana ukoo hawawezi kukipata kulipa.

Wakishindwa kulipa tu ,shamba liuzwe maana mteja ameshapatikana halafu jamaa yangu atapewa mgawo wake.
 
Leo nimeongea na jamaa yangu yuko Kilosa akawa anasema kuna Mwalimu mstaafu wa Rombo tangu astaafu kazi yuko Kilosa Moro eti anamwambia Rombo ni pazuri.

Nimemwambia kama ni pazuri ni kwanini hajarudi kwao.
 
Hbr za jioni Wapendwa wana JF wenzangu??,Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kuwa Wilaya ya Rombo,mkoa wa Kilimanjaro kuna shida sana ya ulevi,hivyo kupelekea akina Baba kutowajibika vema ktk majukumu ya familia km Baba.

Leo katika kufuatilia kipindi cha RIPOTI MAALUMU kinacholetwa na ITV,nimeona jinsi ulevi ulivyokithiri huko Rombo ambapo akina mama wanalalamika kuwa Waume zao hawatimizi majukumu yao ktk familia,wamekuwa legelege,kazi za Kutumia nguvu hawawezi kuzifanya,Mama mmoja amesikika akisema kuwa hata mambo ya chumbani hawawezi tena (poor performance).

Mwanaume mmoja alipoulizwa kuhusu hali hiyo hususani kushindwa kuwahudumia wake zao Mambo ya ndoa,alijibu kuwa yeye hana muda wala interest na Mambo ya ndoa.

Bibi mmoja alipoulizwa kuhusu hali hiyo amesema anasikitika kwasababu kizazi hicho kinaelekea mwisho kwasababu Wanaume wanazidi kuisha huko Rombo hivyo itakuwa vigumu kupata watoto kutokana na ulevi uliopindukia.

Aidha Ktk mahojiano ya mwandishi na vijana wengi,imeonekana kuwa vijana wengi wa kiume wameachana na wake zao kutokana na ulevi hivyo Wanaume hao wanalelewa na mama zao, huku watoto wao wakiishi na wake zao.

My take: Vijana wa Kiume kutoka Mikoa mingine twendeni Rombo tukawasaidie Wanaume wenzetu walevi kuwahudumia wake zao ili kizazi cha Rombo kiwe endelevu.

Chanzo: RIPOTI MAALUMU-ITV
Nenda kasaidie Rombo nami nikusaidie ulieniachia...
 
Wachagga wamezoea kuishi hivyo. Wao ni pombe tu.

Yaani kumkuta mchagga mama au baba ana beef zito kabisa na mwanae ni kitu cha kawaida tu.

Mimi nilivyofika tu huku, nilikuta mwenyeji wangu huku wanataka kucheza deal la kuuza shamba la mchagga.

Kilimanjaro ardhi ni ya shida sana, yaani mzee akitaka kuuza shamba ni mpaka ukoo ukae uamue.

Sasa kuna jamaa akawa anataka kujifanya shamba ameliweka bond kwa huyo jamaa yangu, kwa kiasi cha pesa ambacho anajua wana ukoo hawawezi kukipata kulipa.

Wakishindwa kulipa tu ,shamba liuzwe maana mteja ameshapatikana halafu jamaa yangu atapewa mgawo wake.
Wana maisha ya ajabu sana!

Fikiria ni mzee mstaafu wa jeshi ila ukimuona anaishi kama kijana wa miaka 20 alafu ana majungu balaa
 
Kwa namna akina mama wa kichaga walivyo wachafu kitabia japo si wote, nadhani watu wamewastukia na kuacha kuwaoa kiasi cha kuanza kukosa wenzao wa kuwaoa.
Akina mama hawalalamiki kwasababu ya kutoolewa Bali ni suala la kutohudumiwa vizuri kitandani.
 
Leo nimeongea na jamaa yangu yuko Kilosa akawa anasema kuna Mwalimu mstaafu wa Rombo tangu astaafu kazi yuko Kilosa Moro eti anamwambia Rombo ni pazuri.

Nimemwambia kama ni pazuri ni kwanini hajarudi kwao.
Muongo huyo, hawezi kurudi kwao.
 
Wachagga wamezoea kuishi hivyo. Wao ni pombe tu.

Yaani kumkuta mchagga mama au baba ana beef zito kabisa na mwanae ni kitu cha kawaida tu.

Mimi nilivyofika tu huku, nilikuta mwenyeji wangu huku wanataka kucheza deal la kuuza shamba la mchagga.

Kilimanjaro ardhi ni ya shida sana, yaani mzee akitaka kuuza shamba ni mpaka ukoo ukae uamue.

Sasa kuna jamaa akawa anataka kujifanya shamba ameliweka bond kwa huyo jamaa yangu, kwa kiasi cha pesa ambacho anajua wana ukoo hawawezi kukipata kulipa.

Wakishindwa kulipa tu ,shamba liuzwe maana mteja ameshapatikana halafu jamaa yangu atapewa mgawo wake.
Duh!!!, hatari sana.
 
Mjiandae kuchomwa moto mkienda au kuchomwa visu.
Nunua Fire extinguisher kabisa.
Mkaruka vipi kwa wakenya ulipoenda jamaa kiswahili chao namna gani? hamna zile nyumba za mabati tupu kwao huko?
 
Back
Top Bottom