Wanaume wazidi kuadimikia Wilayani Rombo

Mimi niko Rombo huku. In short ni kweli huku ulevi umekithiri.

Kila aina ya pombe unayoijua iko huku Rombo.

Huku kuna pombe ambazo huwezi kuzikuta sehemu nyingine.

Kuna bia za 500 mpaka 1,000.

Suala la wanaume kutohudumia familia zao binafsi nimeona ni kama utamaduni wa wachagga. Hata wanawake hawaweki akilini suala hilo kwamba atasaidiwa na mwanaume.

Huku wanawake wanapambana mpaka machinga mitaani kutembeza nguo na viatu.

Unaweza kukuta ndani ya nyumba wote hawaelewani.

Mama anauza duka lake, mtoto ana kigrocery cha bia hapo hapo na huku mzee wa familia yeye anuza mbege.

Nimegundua pia mchaga anakuheshimu kama una 'kitu'

Vile vile suala la unaguzi wa wachagga huwa ni hadi wao kwa wao huku.

Mfano leo nimekytana na baba mmoja mahakamani anashtakiana na mwanaye kwasababu ya shamba. Mzee anamwapia mabaya mpaka basi.

Mwisho kabisa, mademu wa Rombk ni wazuri ila nakuasa ninwa kupiga na kusepa kama unapenda kwenu na famikia yenu. Kaoe kwingine
Hiyo notion plz ya mwisho [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuwa wanawake wa rombo wana nini,
 
Kanisani hasa KKKT ukikuta mchungaji au mwinjilisti ni mchaga utakuta wazee wa kanisa, katibu na mweka hazina lazima awe mchaga pia!

Ukimuona Mastai pale kimara ameng'ang'ania vile ni kwa sababu wachaga wenzake wamejaa pale! Na siku akipelekwa pale mchungaji wa kabila lingine atakiona cha moto.

Mchaga na Mkenya linapokuja suala la ubinafsi hawatofautiani.
Punguza umbea na chuki dhidi ya wachaga, pia weka akilini kuwa Matsai siyo mchaga ni muiraqw.

Usimchukie aliyekuzidi be inspired.
 
sisi wa mpakani hukuu tunaenjoy mnoo mazeee... tunapiga kiti moto na balimi za baridiii apoo tarakea alaf baadae gestiii na totoz kunyanduaa!!!😀😎 rombo totozz
1039.jpg
 
Mimi niko Rombo huku. In short ni kweli huku ulevi umekithiri.

Kila aina ya pombe unayoijua iko huku Rombo.

Huku kuna pombe ambazo huwezi kuzikuta sehemu nyingine.

Kuna bia za 500 mpaka 1,000.

Suala la wanaume kutohudumia familia zao binafsi nimeona ni kama utamaduni wa wachagga. Hata wanawake hawaweki akilini suala hilo kwamba atasaidiwa na mwanaume.

Huku wanawake wanapambana mpaka machinga mitaani kutembeza nguo na viatu.

Unaweza kukuta ndani ya nyumba wote hawaelewani.

Mama anauza duka lake, mtoto ana kigrocery cha bia hapo hapo na huku mzee wa familia yeye anuza mbege.

Nimegundua pia mchaga anakuheshimu kama una 'kitu'

Vile vile suala la unaguzi wa wachagga huwa ni hadi wao kwa wao huku.

Mfano leo nimekytana na baba mmoja mahakamani anashtakiana na mwanaye kwasababu ya shamba. Mzee anamwapia mabaya mpaka basi.

Mwisho kabisa, mademu wa Rombk ni wazuri ila nakuasa ninwa kupiga na kusepa kama unapenda kwenu na famikia yenu. Kaoe kwingine
Itabidi nije kutembea huko aisee
 
Naiomba serikali inikamate uzururaji hapa dar alafu inipeleke huko rombo nika waromboe vizuriii hao warembo wa huko naiomba serikali inikamate hata saa aaba mchana uzururajiii jamaniii
 
Back
Top Bottom