Ni kweli haudanganywi ila habari ndiyo hiyo kwamba kina dada wengi wa kibongo wananuka.
Wadada hata wakiishi majangwani, kunuka is a rare case.!
Lakini mwanaume akiishi baharini, kunuka ni jadi! Most of us men are not smart in making ourselves smart!
Cc.. lara 1, Heaven on Earth, Chocs, Lady doctor, Passion Lady, ladyfurahia, jamiif

Tuko busy ili nyinyi mpendeze.
umeona ee! sijui wakoje? mtu ananuka hadi aibu kuongozana naye kha! badilikeni jamani....
Huyu kaguswa!
jamani hizi mada hizi
mwanamke kunuka kuna mengi
either fungus pia yawezekana mwanamke
akawa hajui kujisafisha vizuri huko mahala ila
wanaume wengi wananuka,c vikwapa wala pyumbu zao balaa!!
Excel mi napita bana staki uchokozi hahaaaa!!
any reason ya ku ni CC
bora mmejigundua na kuanza kuambiana ukweli, wanaume ni wabishi
ukiwaambia nenda kaoge fua nguo ya ndani basi kwao wanaona ni fahari
kuwa wachafu yaaini mm wananiuzi kabisa tena wananisindano
bora uwaelezee maana wengine wanakomaa na maubishi wakati tunasaidiana kuwekana sawa...
Hahahaaa.... Ukimwambia abadili boxer anasema "Mbona hii nimeivaa juzi tu hata week haijamaliza" Lol.....
Afu ikimaliza week badala ya kuifua anaianika yaaalah... Nisikilizie uvundo wake ye mwenyewe wala hana habari!!!
Mbadilike khaaaa!!!!!