wanaume wanaume wanaume...jiangalieni jamani

wewe ni muelewa na umekubali kuwa shida hii ipo kwa BAADHI ya wanaume. Kujipenda muhimu bwana. Hongera kwa usafi kaka
 
hahahahahahaha bora tuendelee kuwakumbusha maana kuna wawili humu wanajidai wabishi wakati ukweli wanaujua....bila kuwa wasafi na miharufu ya kwapa na modomo, wadada wote wazuri wataendelea kuwaita mashemeji tu tena hata hao mashem watakereka na jiharufu lako....well said shosti!
Ee bwana kuna wanaume watamu nyieeeeee. They smell so good, look so good. Eh! Yummy. Na si ------- hataa.
Sasa ukute jitu hata halijipendi halafu linakukonyeza. ----.
 
daaah hii thread imenfanya nicheke nimekaa na mshkaji hapa kwenye daladala ananipigisha stori... harufu inayotoka humo hatarii tupu
 
Hii Si Kweli.....
Wanaokuwa Katika Halii Hiyo, wengi wao ni wageni, from the beginning hawana hiyo tabia kwa kutozoeshwa, ama hawana uwezo wa kufanya vitu hivyo, wana majukumu zaidi ya kujifanya wapendeze
 
Hivi nyie wanaume deodorants ni sh ngapi?
Mkuu BR dawa ya kunuka sio deodorant, dawa ya kunuka ni usafi wa kina wa mwili wako, hata baada ya hapo ukipiga rays/ cooking oil, huwezi kuchefua wenzio.
 
mhh! mue mnafua hata hizo boxer zenu, sio boxer moja mtu avaaaa weee hata mwezi...
Mkuu mpenzi wako ametisha, bajeti ya subuni kufua boxer kwa mwaka I naweza ikawa jero. Hahahaaaa
 

una mimba changa? miaka yote hio huko sikia hizo harufu uje kusikia leo
 
Tehe tehe naona upande wapili leo zamu yao. Natamani kufunguka zaidi bahati mbaya kacm kangu kanazima chaji. Ila kiukweli wapo wanaume wanaokera kwa uchafu,,,puuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…