Hahahaha.....swty upo kumbe? Naona unachungulia wazengeaji
Sio hatujiamini ndugu......huwa tuna-sacrifice mambo mengi kwaajili ya mapenzi ila ndo hivyo tunaambulia maumivu
Pole kwa maumivu
Hiyo sacrifice ndo inawaangusha na kujikuta kwenye 6*6..... this match its easy to play...... good women know a tricks to fit kwa relation yake
=Don't be a girl, be a woman you can't regret ever
Naelewa toka huko.... so for that case men are selfish
wanaume wanataka PAPUCHI jamani....mengine mbwembwe tu Khantwe
Tangaza mapema mkuu...
Sio hatujiamini ndugu......huwa tuna-sacrifice mambo mengi kwaajili ya mapenzi ila ndo hivyo tunaambulia maumivu
im not included
Tena wewe ni totaly selfish