Learn to be feminine...no man wants another man as a partner my dear...
Jifunze kuongea polepole kwa sauti ya chini,aibu ya kike kiasi,be more caring and loving,supportive,usiwe mgumu na kimbelefront all the time,let ur man take care of things and you esp in public, deka na umdekeze mpenzi wako,dress like a woman,...inshort do everything like a woman...life is really sweet this way
hapo sasa.. yani mimi nikiona panya au mende kama kuna mwanaume naruka hata juu ya kabati napanda afu akisha muua najifanya nimefikaje huku njoo nishushe looh... mwanamke raha ujue kudeka loh
Kama nakuona vile....
Aweke picha ya ubabe au ya kujiamini?
Learn to be feminine...no man wants another man as a partner my dear...
Jifunze kuongea polepole kwa sauti ya chini,aibu ya kike kiasi,be more caring and loving,supportive,usiwe mgumu na kimbelefront all the time,let ur man take care of things and you esp in public, deka na umdekeze mpenzi wako,dress like a woman,...inshort do everything like a woman...life is really sweet this way
umekosea !
am very cool.
Nani yupo tayari kuleteana habari za kibabe ndani?
Nlishawahi kudate na mwanamke wa aina yako tena mwanasheria, yani ilikuwa vurugu kila kukicha.
Kitu kidogo kikitokea atafoka, atakuandikia magazeti ya sms hadi ujute. Halafu hampendi kuambiwa ukweli ambao mnatakiwa mbadilike mnakuwa wakali sana, mnaona kama mnaonewa vile.
Kuna vitu vilivyo juu ya uwezo wenu hamviwezi kuvifanya mnalazimisha na mkishindwa mnaishia kumlaumu kila alie mbele yenu, hasa wapenzi wenu.
umekosea !
am very cool.
Learn to be feminine...no man wants another man as a partner my dear...
Jifunze kuongea polepole kwa sauti ya chini,aibu ya kike kiasi,be more caring and loving,supportive,usiwe mgumu na kimbelefront all the time,let ur man take care of things and you esp in public, deka na umdekeze mpenzi wako,dress like a woman,...inshort do everything like a woman...life is really sweet this way
Hata mi huwa naambiwa kauzu nipo serious sana
usiogopeee utapata wa kukupenda na ubabe wako
Habari wanajamii
Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.
Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana mtu anaponitamkia hayo. Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?
Tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.
Asanteni kwa kunijibu bila kejeli
nimekusoma the boss
mrefu kwakweli