Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Wewe unafanana sana na mimi,"BE YOURSELF",usijibadili kwaajili ya mtu madhali tabia zako hazimdhuru yoyote au kusababisha maangamizi.Ukibadilika ili upate mtu maanake unajikana wewe mwenyewe!Your better half is out there somewhere atawasili wakati wake ukifika ila kwasasa concentrate kwenye mambo yenye umuhimu kwenye maisha yakoHabari wanajamii
Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.
Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana mtu anaponitamkia hayo. Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?
Tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.
Asanteni kwa kunijibu bila kejeli
Kila shetani na mbuyu wake, we subiri tu kuna mmoja atapenda sanaa.. huo ubabe wako,hata akiambiwa na hao majirani zako hataskia kabisaa...Good luck.Habari wanajamii
Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.
Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana mtu anaponitamkia hayo. Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?
Tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.
Asanteni kwa kunijibu bila kejeli
Habari wanajamii

mimi ni mkali sana
ILA WANAUME HUNIONA MPOLE SANA sijui kwa sababu NAHESHIMU UWEPO WA MWANAUME
plz usitake haki sawa na wanaume waache wakuchukulie wewe kama mtoto wacha wawe kichwa it wont cost you a thing mwanaume ni mwanaume even bible says
KUSHINDAANA KWAKO NA WANAUME KUNAWEZA KUKAWA SABABU WATCH OUT WANAUME HAWAPENDI HIYO HALI
Why...?
unatakiwa kujirekebisha...kujiamini hatukatai ila kusizidi, niliwahi kuwa na binti mmoja kama marafiki ila nilishaonesha interest..sasa akaanza kunipanda kichwani mara anifokee na commands zisizo na msingi..nilikuwa disappointed sana na nikawa najiuliza hapa tu ni nje ya ndoa, nikimuoa je itakuwaje?
He he he, nakufananisha vile. Kama ni wewe ni ngumu sana, ni mother tongue tu. Imagine Rhobi aongee, afu hapo pembeni aongee Mwanayumba? Tofauti.
Wakati mwingine control ya lugha, lugha usiyoijua sana unaonekana unaongea kwa ukali, sababu unajaribu kusisitiza ili watu wakuelewe.
Volume majanger majanger, punguza volume, afu kama una-urgue, mpe mtu muda wa kumsikiliza, hata kama anaongea pumba kiasi gani. Akimaliza, then na wewe uongee, ila kumpiku wakati wa kuongea inaonesha ukali.
Unayosema miss chagga ni kweli kabisa. Hizi tabia zetu za, I can pay, I can argue, I can challenge him bila kuangalia uko wampi na mtuo zinawatisha hawa viumbe wa jinsia tofauti na yetu. Sometimes ni kuwaacha wajione wanaume wanaoweza kutumiliki na ku-take care of us.
Kudeka muhimu sana: we hata panya na mende unataka uwaue wewe wkt kidume mwenye nguvu yupo, ukipigiwa simu hata sauti ulainishi.
bandika umri wako, nina kazi na wewe
pole sana dada ila mi naona kwa kuwa umeshaona kuwa una hako kaidhaifu hadi wanaume wanakuwa wanakukimbia basi fanyia kazi mambo hayo na uwe na subira kwani huwezi jua labda hao wote waliokukimbia ni Mwenyezi Mungu tu kakuepusha nao ili neema ya kupata mume mzuri ije....kumbuka kuwa likuepukalo lina kheri na wewe hivyo kuwa na subira ila pia jiangalie mienendo ya tabia zako ili isiwe kero hata kwa huyo atakayekuja na ukawa nae. Pia amini kuwa hakuna binadamu mkamilifu, kila mtu ana madhaifu yake, tofauti ni kwamba kuna yanayovumilika na yasiyovumilika....muombe Mwenyezi Mungu akujaalie hekima zaidi ktk kujirekebisha huko na ninaamini utampata tu atakayekidhi nafsi yako na labda hata kukubadilisha mwenendo wako na mkacope vzr tu...kila shetani na mbuyu wake.......kila la kheri inshaallah!
ha haaaa, tukiwaongelea kwa sauti ya chini mnatuonea sana.