Wanaume wanakuwaga mzunguko na hot days?

Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu
Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia?

Ama wao ni regular tu?

Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa za hatari ndio naita hot days,hizi siku ni balaa na nusu yake🙆

Katika hizi siku ndio mwanamke anakuwa kwenye uwezekano wa kubeba mimba Kwa 100%
Joto la mwili hupanda

Hormone zinaachiliwa kama zote,mayai ndani yanakuwa ready kutungisha mimba na ukeni kunakuwa wet na utelezi mda mwingi.yai lile likikosa kirutubisho toka Kwa mwanaume ndo linatokea na kushuka nje ya uke kama waste.

Hata Kwa mnyama mbwa pia,ana siku zake hatari,na wanatoka harufu Fulani inayomvuta dume hata kama Yuko mtaa wa saba ataruka ukuta amfate jike alipo.jike huwa anahangaika anatoa milio fulani mda wote na huwa anatoka utelezi.

Nadhani hii ni mahsusi kwajili ya kurahisha uumbaji na kujaza Dunia.
But my question...wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?

Mwanamme muda wote yupo READY.
 
Unazungumzia mke yupi!? Huyo pichani ndo mkewe na siyo mzungu.
Mimi picha nilizoziona na tetesi ni kwamba wapo wawili, mmoja mnayemjua mbongo na mwingine huyu mzungu wa kwenye picha.

IMG_9224.png

Au labda hii ni AI na siyo mheshimiwa wetu au ni faragha zake binafsi tumuachie mwenyewe.
 
Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu
Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia?

Ama wao ni regular tu?

Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa za hatari ndio naita hot days,hizi siku ni balaa na nusu yake🙆

Katika hizi siku ndio mwanamke anakuwa kwenye uwezekano wa kubeba mimba Kwa 100%
Joto la mwili hupanda

Hormone zinaachiliwa kama zote,mayai ndani yanakuwa ready kutungisha mimba na ukeni kunakuwa wet na utelezi mda mwingi.yai lile likikosa kirutubisho toka Kwa mwanaume ndo linatokea na kushuka nje ya uke kama waste.

Hata Kwa mnyama mbwa pia,ana siku zake hatari,na wanatoka harufu Fulani inayomvuta dume hata kama Yuko mtaa wa saba ataruka ukuta amfate jike alipo.jike huwa anahangaika anatoa milio fulani mda wote na huwa anatoka utelezi.

Nadhani hii ni mahsusi kwajili ya kurahisha uumbaji na kujaza Dunia.
But my question...wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?
Mnaona umuhimu wetu kwenu, yaani hamna ujanja bila sisi ila sisi tunaweza ishi bila nyinyi, (baadhi yetu) na ndiyo maana hapo Dar unakuta mwanamme ana demu lakini pia naye (mwanamme) ana bwana wake wa pembeni. Rejeeni kisa cha changu Zaylisa.
 
Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu
Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia?

Ama wao ni regular tu?

Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa za hatari ndio naita hot days,hizi siku ni balaa na nusu yake🙆

Katika hizi siku ndio mwanamke anakuwa kwenye uwezekano wa kubeba mimba Kwa 100%
Joto la mwili hupanda

Hormone zinaachiliwa kama zote,mayai ndani yanakuwa ready kutungisha mimba na ukeni kunakuwa wet na utelezi mda mwingi.yai lile likikosa kirutubisho toka Kwa mwanaume ndo linatokea na kushuka nje ya uke kama waste.

Hata Kwa mnyama mbwa pia,ana siku zake hatari,na wanatoka harufu Fulani inayomvuta dume hata kama Yuko mtaa wa saba ataruka ukuta amfate jike alipo.jike huwa anahangaika anatoa milio fulani mda wote na huwa anatoka utelezi.

Nadhani hii ni mahsusi kwajili ya kurahisha uumbaji na kujaza Dunia.
But my question...wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?
Kwa kifupi hapana, sisi tumeumbwa kuwa na joto kila sekunde....hata utuamshe saa tisa usiku unataka shoo, dushe hiloo utalikuta limesimama likitafuta network usingizini. Ukiligusa tu, unachapwa na kushibishwa. Only side effects utakazozipata ni kule kuumwa miguu, mgongo na kupata usingizi asubuhi ukiwa kazini kwenye vikao. Wanaume wa Kiafrika tuko tofauti sana na wenztu wengine maana wao mpaka wanyonywe ama kulambwa koni pamoja na kupigwa vidole mkunduni ili wapate stimu, mchezo wa kishenzi ambao vijana wengi wa Kibongo fleva wamejiingiza huko kama Diamond kupakwa mafuta na P. Diddy.
 
..wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?
---
Wanaume hawana mzunguko wa homoni wa kila mwezi unaofanana na ule wa wanawake. Viwango vyao vya testosterone, homoni kuu ya kiume, hufuata mzunguko wa kila siku (diurnal cycle), vikiwa juu zaidi asubuhi na kupungua taratibu kadri siku inavyoendelea. Hii inafanya hamu yao ya kingono kuwa thabiti zaidi na isiyofungamana na "siku za hatari" maalum kama ilivyo kwa wanawake wakati wa upevushaji yai.

Tofauti na wanawake ambao mzunguko wao huandaa mwili kwa uwezekano wa ujauzito kila mwezi, uzalishaji wa mbegu za kiume ni mchakato unaoendelea na si wa kimzunguko. Kwa hivyo, hamu yao huathiriwa zaidi na afya ya jumla, msongo wa mawazo, na vichocheo vya nje badala ya mabadiliko makubwa ya homoni ya kila mwezi.
 
Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu
Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia?

Ama wao ni regular tu?

Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa za hatari ndio naita hot days,hizi siku ni balaa na nusu yake🙆

Katika hizi siku ndio mwanamke anakuwa kwenye uwezekano wa kubeba mimba Kwa 100%
Joto la mwili hupanda

Hormone zinaachiliwa kama zote,mayai ndani yanakuwa ready kutungisha mimba na ukeni kunakuwa wet na utelezi mda mwingi.yai lile likikosa kirutubisho toka Kwa mwanaume ndo linatokea na kushuka nje ya uke kama waste.

Hata Kwa mnyama mbwa pia,ana siku zake hatari,na wanatoka harufu Fulani inayomvuta dume hata kama Yuko mtaa wa saba ataruka ukuta amfate jike alipo.jike huwa anahangaika anatoa milio fulani mda wote na huwa anatoka utelezi.

Nadhani hii ni mahsusi kwajili ya kurahisha uumbaji na kujaza Dunia.
But my question...wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?
Mwanaume kila siku ni hot day. Umkimnyima anakasirika.
 
Back
Top Bottom