makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,453
- 108,541
Salaam zimefika hizo ma mkwe.Nisalimie mme wangu

Asante Kwa jibu mkuuHakuna hicho kitu
Kwa upande wa Hali ya kimwilo unakuwa ipo sawia mda wote..so factors za nje pekee ndo zinawaabadili na kuwaathiriHela ikiwepo hisia zinakuwepo
Kimwili, ni muda wowote kama ameshibaKwa upande wa Hali ya kimwilo unakuwa ipo sawia mda wote..so factors za nje pekee ndo zinawaabadili na kuwaathiri
Hatuna siku zetu, ilimradi tuña afya njema. kila muda huwa tuko hot, mnatukosea sana mnavyotunyima hata nikichepuka kama matokeo ya kunyimwa huwa sijutii kabisa sijui kwa nini tuliumbwa kuwa hot muda woteNauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu
Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia?
Ama wao ni regular tu?
Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa za hatari ndio naita hot days,hizi siku ni balaa na nusu yake🙆
Katika hizi siku ndio mwanamke anakuwa kwenye uwezekano wa kubeba mimba Kwa 100%
Joto la mwili hupanda
Hormone zinaachiliwa kama zote,mayai ndani yanakuwa ready kutungisha mimba na ukeni kunakuwa wet na utelezi mda mwingi.yai lile likikosa kirutubisho toka Kwa mwanaume ndo linatokea na kushuka nje ya uke kama waste.
Hata Kwa mnyama mbwa pia,ana siku zake hatari,na wanatoka harufu Fulani inayomvuta dume hata kama Yuko mtaa wa saba ataruka ukuta amfate jike alipo.jike huwa anahangaika anatoa milio fulani mda wote na huwa anatoka utelezi.
Nadhani hii ni mahsusi kwajili ya kurahisha uumbaji na kujaza Dunia.
But my question...wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?
Hahaa sawa mkuuKimwili, ni muda wowote kama ameshiba
Wanawake huwa wanavumilia mengi sana, na bado mkewe wa ndoa alienda huko EU kumpigania na hotuba juu japo mheshimiwa ana bebi wake mzungu 😅 na hajifichi.View attachment 3376074
yeye pia ni binadamu na huwa na wakati wake wa faragha.
Sisi kila sekunde, kila dakika, kila saa, kila siku, kila wiki, kila mwezi, kila mwaka ni Hot days...Hot days inapotea pale mwanaune anapokufa au kukosa goroli mbiliNauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu
Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia?
Ama wao ni regular tu?
Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa za hatari ndio naita hot days,hizi siku ni balaa na nusu yake🙆
Katika hizi siku ndio mwanamke anakuwa kwenye uwezekano wa kubeba mimba Kwa 100%
Joto la mwili hupanda
Hormone zinaachiliwa kama zote,mayai ndani yanakuwa ready kutungisha mimba na ukeni kunakuwa wet na utelezi mda mwingi.yai lile likikosa kirutubisho toka Kwa mwanaume ndo linatokea na kushuka nje ya uke kama waste.
Hata Kwa mnyama mbwa pia,ana siku zake hatari,na wanatoka harufu Fulani inayomvuta dume hata kama Yuko mtaa wa saba ataruka ukuta amfate jike alipo.jike huwa anahangaika anatoa milio fulani mda wote na huwa anatoka utelezi.
Nadhani hii ni mahsusi kwajili ya kurahisha uumbaji na kujaza Dunia.
But my question...wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?
Ndomana mnapopambani 50/50 huwa tunawashangaa, mwanaume hajawahi kuwa sawa na mwanamke na haitakuja kutokea. Si unaona kama hapa unajaribu kulinganisha mambo yenu (wanawake) na mambo ya wanaume ukihisi kuna mfanano ila nikwambie tu: kwetu wabaume hakuna siku wala saa, ni muda wowote kinaamshwa. Mwanaume asipokuwa na stress akiona au kuhisi tu basi imoooo!Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu
Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia?
Ama wao ni regular tu?
Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa za hatari ndio naita hot days,hizi siku ni balaa na nusu yake[emoji134]
Katika hizi siku ndio mwanamke anakuwa kwenye uwezekano wa kubeba mimba Kwa 100%
Joto la mwili hupanda
Hormone zinaachiliwa kama zote,mayai ndani yanakuwa ready kutungisha mimba na ukeni kunakuwa wet na utelezi mda mwingi.yai lile likikosa kirutubisho toka Kwa mwanaume ndo linatokea na kushuka nje ya uke kama waste.
Hata Kwa mnyama mbwa pia,ana siku zake hatari,na wanatoka harufu Fulani inayomvuta dume hata kama Yuko mtaa wa saba ataruka ukuta amfate jike alipo.jike huwa anahangaika anatoa milio fulani mda wote na huwa anatoka utelezi.
Nadhani hii ni mahsusi kwajili ya kurahisha uumbaji na kujaza Dunia.
But my question...wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?
Wakivunja muungano itakuwaje sasa kwa kizimkazi?Wazanzibar wanasema hawataki muungano, wamechoka
Huyo ni mwanamke mwenzio, wanaume hatuna sikuWewe kama mwanaume unatambuaje hizo siku
Naona wenzio wanapanic
Unazungumzia mke yupi!? Huyo pichani ndo mkewe na siyo mzungu.Wanawake huwa wanavumilia mengi sana, na bado mkewe wa ndoa alienda huko EU kumpigania na hotuba juu japo mheshimiwa ana bebi wake mzungu [emoji28] na hajifichi.
Wanaume watabaki kuwa wanaume tu [emoji706]
Cc:
secretarybird
Mama Ndege
Ndio mzunguko wa wanaume uko hivi tukiwaga na pesa mfukoni tunakuwa hot sana Yani swala yoyote akipota mbele yetu ni halali yetu but mtonyo ukikata tunapowa kidogo na mda huo karibia Kila demu tunamuona Malaya tu mla hele zetuNauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu