Wanaume wanakuwaga mzunguko na hot days?

Wanaume wanakuwaga mzunguko na hot days?

Ila Kuna watu wanajua kupanic jamani
Kama hujaelewa namaanisha je na wanaume wanakuwa na siku tofauti katika suala Zima la hormones,feelings,na intimacy miilini mwao au wao wako normal tu all days?
Ama siku zote ziko sawia tu..
Mnaoanic nikamuulize mjombangu🤣
 
Back
Top Bottom