Wanaume wanahangaika sana

Hivi inapata wapi guts za kumwita mwenzio mbaya?
Uzuri wako ni upi?
Na ubaya wa huyo mtu ni upi?
Tueleze japo kwa ufupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa ndio umeanza kuingia online.....
Ebu cheki pm yangu hapo uone kama unaweza nifanyia wepesi kwasababu saizi upo singo tagmfadhali....[emoji39][emoji39][emoji39]
kwa age yangu hakuna kupotezeana muda na weza sema ni experience halafu we were madly in love sasa unaanzaje kusema kupoteza muda hata kama mapenzi yameisha siwezi kusema ni kupoteza muda hata kama tumeachana kuna vitu nme learn kwa hii relationship
 
Huu uzi wako ni wa kipuuzi puuzi kbs kaweke Fb hauna hadhi ya kuwemo humu unajaza uchafu tuuu humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aff acha kujisifia watu watakuja pm ili waendelee kukuchezea na hivi unastress utapigwa dana dana humu kuja kustuka [emoji32][emoji32][emoji32]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahhhahh nimejikuta nacheka tu!!!

Eeh embu tuambie ulijuaje kama kakubrok?!!!

Haki, utoto ni raha sana!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwel mkuu... Coz utakapojua ume brockiwa ni lazma ulkuwa na harakat za kutak kfanya mawasiliano nae[emoji56][emoji56][emoji56]
Kwakwel kufa hutokufa dada ila cha[emoji91][emoji91]utaki[emoji102][emoji102]

°•°Faith •Hope •Charity•°•
 
Kwahy uko single mdada. Ebu kuwa muwazi kdg usizunguke sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…