Wanaume wana mbinu, Wanawake wana mitego

Wanaume wana mbinu, Wanawake wana mitego

mbaya zaidi muuza duka ni dume.ajabu ya shetani ke wote huenda kwa muuza vyupi Dume kuliko ke mwenzao.

Kituko huko shop wameweka sehemu fiche ya kujipimia jamani!!!

Majike nayo sometimes mbibi kabisa miaka 30 yanafurahia tu kuingia huko na kutoka eti "kaka nibadirishie hii ni ndogo... Na utafute nzuri eee!!" mfyuuuxx! Ole wenu babu Magu awajue!
smaki
 
nakumbuka kuna mdau alileta topic hapa jinsi walivyokuwa wanazamia kwenye nyumba za madem huko mashariki ya mbali...!
yaani ile unaingia unanyata kwenye geto ya beki3 huku umebana pumzi istoke hahahaha ngoja nicheke kwanza hii sio ishu ya kitoto kunyatia demu amelala!!ata ukiskia ushuzi unabana afu unakuwa unatembea km mwalimu ametoka kukuchapa.HEHEHE sasa iyo mbinu yako ya kunyata afu unafika unamtoa kidaka ye beki 3 katulia tuuu unazani ni ujanja wako au unategwa tuu
Share huo Uzi mkuu, tafadhali.
 
Nadhani ni vigumu sana kuuelewa huu msemo. Lakini ukweli ndio huo, Wanawake kabla hawajaingia mapenzini, hupiga Hesabu kali huku wakijifanya malonya kumbe wewe mwanaume ndio boya.

Hebu jiulize huyo mwanamke uliyekuwa naye, ulimpata kwa ujuzi na mbinu zako au alikuonea huruma? Unajuaje kama hujajiingiza mtegoni mwenyewe? Muulize ni mstari gani Kati ya ile mingi niliyokupigisha saundi mvua ndio ulikuingia zaidi hadi ukanikubali?

Mwanamke ana jicho kali sana, anaweza kuku zooom kisha akayaona maisha yako ya miaka miwili ijayo. Hapa ndio unakuta demu mkali kuliko Pisi kali amemzimia MSELA WA MANZESE, halafu anasema nakupenda jinsi ulivyo, kumbe anaipenda ile green pasture anayoiona siku za usoni.

Rest in Eternal Peace Pius Ng'wandu
Huo mstari wa mwisho ndo story ya mjini!
 
Kwahiyo wewe unaamini kabisa kuwa history ya maisha ya hao watu yote iliandikwa kwenye misahafu !?? Halafu history huandikwa na washindi so inaweza kuwa walijipigia pande
Kama nao wangeangushwa,wangeandikwa wamefeli tu kama wengine.
Maamuzi yote ya njia zako yapo mikononi mwako.Ukimkabidhi mtu mwingine hiyo nafasi,basi shauri yako.
 
Bidada aliona mbali yaan hapo mirathi nahisi kwake itakuwa 70% halafu the rest 30%,chezea wanawake weye!
 
Kwa hiyo wewe umetumia akili yako na ukagandua kwamba akina Petro walikuwa ni wapiga nyeto tu Sio??

Yaani akili zako zina usahihi zaidi kuliko maandiko

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Kwani wewe ulikuwa hujuwi kina Petro walikuwa wapiga punyeto tu? Wewe hapo ulipo unapiga punyeto kwanini Petro asipige punyeto ikiwa naye ni mwanadamu kama wewe mwenye mahitaji?
 
Wanawake bana wasikie tuu ... Dah hawa watu simchezo.

Tunakomaa nao tu, hakuna namna
Watu wa kazi.
Ukikuta mwanamke ni mchawi, anakuwa mchawi kwelikweli.
Ukikuta mwanamke ni jambazi, basi anakuwa jambazi kweli.
Wanawake hawanaga show mbovu
 
Kumbe Mwana kama hujapiga ile kitu unasemaga ukweli mtupu, eti me walivyo maronya wanasemaga wamekula kimasihara kuumbe wao ndo wameliwa!
Mwanamke ana jicho kali sana, anaweza kuku zooom kisha akayaona maisha yako ya miaka miwili ijayo. Hapa ndio unakuta demu mkali kuliko @Pisi kali amemzimia @MSELA WA MANZESE, halafu anasema nakupenda jinsi ulivyo, kumbe anaipenda ile green pasture anayoiona siku za usoni.
 
Back
Top Bottom