Wanaume wana mbinu, Wanawake wana mitego

nakumbuka kuna mdau alileta topic hapa jinsi walivyokuwa wanazamia kwenye nyumba za madem huko mashariki ya mbali...!
yaani ile unaingia unanyata kwenye geto ya beki3 huku umebana pumzi istoke hahahaha ngoja nicheke kwanza hii sio ishu ya kitoto kunyatia demu amelala!!ata ukiskia ushuzi unabana afu unakuwa unatembea km mwalimu ametoka kukuchapa.HEHEHE sasa iyo mbinu yako ya kunyata afu unafika unamtoa kidaka ye beki 3 katulia tuuu unazani ni ujanja wako au unategwa tuu
hiyo story iko humu jf?
 
wahanga wapo wengi, bila shaka mlikufa km waziri wa wazamani mzee Pius! ila kwa bahati nzuri mkafufuka 😁😁
leteni ushuhuda tujifunze wadau 😄😄
 
Lakin Mimi ni mtu pekee ambaye mwanamke hawez ni control.......ata akikaa uchi nikiamua siwez dindisha
uko sahihi kabisa wala hatubishi kwa kuwa watu km wewe ndiyo wenye asili ya Nephilim.

Sisi wenye asili ya Adamu na Hawa, wazazi wetu hawa walitokana na pumzi ya Mungu kabisaa.

tuna vionjo vya ki Mungu. Nyie mnavionjo vya malaika waasi tena siyo wengi km sisi.yaani Shetani.

Hamtuhusu kwanza hata mbingu haziwahusu nyie mli rux tu.

wenye kesi na Mungu ni sisi wenye vionjo asilia. Hivi tunajiandaa kujibu maswali siku ya kiama.

Tunajitahidi kutubu.

Nyie Rahisi sana kuwajua. mtasikia Leo mara Mungu hayupo, mara janja ya wazungu. Mara mtasema ni ulaji tu.

mtuacheeee! Na Mungu wetu. Mna viherehere km baba yenu shetani!!
 
Hahahaha..kweli ni mtu pekee huyu jamaa.

Mimi hata nikiona chupi zinauzwa dukani huwa napiga picha moja matata sana pale papuchi inapokaa.

Huwa najikuta kitu inasoma mlemle

Kwamba anafanana nao
mbaya zaidi muuza duka ni dume.ajabu ya shetani ke wote huenda kwa muuza vyupi Dume kuliko ke mwenzao.

Kituko huko shop wameweka sehemu fiche ya kujipimia jamani!!!

Majike nayo sometimes mbibi kabisa miaka 30 yanafurahia tu kuingia huko na kutoka eti "kaka nibadirishie hii ni ndogo... Na utafute nzuri eee!!" mfyuuuxx! Ole wenu babu Magu awajue!
 
Mzee alikua analamba kopo la sukari kwa fujo ..mwisho wa siku akatembelewa na Minyenyere.

R.I.P jemedari
Nadhani ni vigumu sana kuuelewa huu msemo. Lakini ukweli ndio huo, Wanawake kabla hawajaingia mapenzini, hupiga Hesabu kali huku wakijifanya malonya kumbe wewe mwanaume ndio boya.

Hebu jiulize huyo mwanamke uliyekuwa naye, ulimpata kwa ujuzi na mbinu zako au alikuonea huruma? Unajuaje kama hujajiingiza mtegoni mwenyewe? Muulize ni mstari gani Kati ya ile mingi niliyokupigisha saundi mvua ndio ulikuingia zaidi hadi ukanikubali?

Mwanamke ana jicho kali sana, anaweza kuku zooom kisha akayaona maisha yako ya miaka miwili ijayo. Hapa ndio unakuta demu mkali kuliko Pisi kali amemzimia MSELA WA MANZESE, halafu anasema nakupenda jinsi ulivyo, kumbe anaipenda ile green pasture anayoiona siku za usoni.

Rest in Eternal Peace Pius Ng'wandu
 
Mbona kina Paul,Peter,Daniel n.k hawakuangushwa na wanawake.
Hakuna mtu anayeweza ku-control fikra zako bila wewe kumpa mamlaka hiyo.
Kwahiyo wewe unaamini kabisa kuwa history ya maisha ya hao watu yote iliandikwa kwenye misahafu !?? Halafu history huandikwa na washindi so inaweza kuwa walijipigia pande
 
Shida ni hiyo honey pot katikati ya miguu yao. Sijui Muumba Aliweka nini pale! Hata uwe mwamba namna gani, hitaji hilo likija aisee utasarenda tu na samahani utaomba hata kama wewe ndiye uliyekosewa. Tulishaonywa kuwa tuishi nao kwa akili!
Na hyo ktu ya katkat imenfanya nishndwe kusave pesa,ningekuwa natunza 100,000 kila mwezi,lakin nmeshndwa
 
Back
Top Bottom