Wanaume wana mbinu, Wanawake wana mitego

Mwanamke kiumbe ambaye alikuja duniani sisi wanaume tukiwa katika usingizi mzito, sijui alifundishwa kitu gani wakati tumelala
 
Nadhani ni vigumu sana kuuelewa huu msemo. Lakini ukweli ndio huo, WANAWAKE kabla hawajaingia mapenzini, hupiga Hesabu kali huku wakijifanya malonya kumbe wewe mwanaume ndio boya.

Hebu jiulize huyo mwanamke uliyekuwa naye, ulimpata kwa ujuzi na mbinu zako au alikuonea huruma? Unajuaje kama hujajiingiza mtegoni mwenyewe? Muulize ni mstari gani Kati ya ile mingi niliyokupigisha saundi mvua ndio ulikuingia zaidi hadi ukanikubali?

Mwanamke ana jicho kali sana, anaweza kuku zooom kisha akayaona maisha yako ya miaka miwili ijayo. Hapa ndio unakuta demu mkali kuliko Pisi kali amemzimia MSELA WA MANZESE, halafu anasema nakupenda jinsi ulivyo, kumbe anaipenda ile green pasture anayoiona siku za usoni.

Rest in Eternal Peace Pius Ng'wandu
Dah ni noma sana
 
Aaah swala la kudindisha inategemeana na jinsi yako ila kwa sisi wanaume ni kawaida akikaa Uchi itaenda juu tu,ila kwa vile wewe umesema mtu pekee maybe hauna upande wowote au unafanana nao!
Hahahaha..kweli ni mtu pekee huyu jamaa.

Mimi hata nikiona chupi zinauzwa dukani huwa napiga picha moja matata sana pale papuchi inapokaa.

Huwa najikuta kitu inasoma mlemle

Kwamba anafanana nao
 
Bjbj, wanaume kwa mwanamke ni kama mkate mbele ya chai.
Samson mbabe wa dunia, aliangushwa na mwanamke.
Suleiman na hekima zake zote aliangushwa na WANAWAKE.
Bila akili mwanamke anakuangusha ndani ya sekunde sita na nusu
Wewe ndio mkate, usitujumuishe wote
 
Hahahaha..kweli ni mtu pekee huyu jamaa.

Mimi hata nikiona chupi zinauzwa dukani huwa napiga picha moja matata sana pale papuchi inapokaa.

Huwa najikuta kitu inasoma mlemle

Kwamba anafanana nao
Hahaaaahaha mwanaume mwenye damu nyekundu hawezi kukwepa mkuu hilo jambo kirahisi
 
Yawapasa kuishi nao kwa akili.
Screenshot_20201220-061220.png
 
Back
Top Bottom