Bree ven
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 375
- 363
Naomba kuuliza jamani, hivi wanaume waliosoma seminari wanasifa zipi na hasa inapokuja suala la wao kuwa baba ktk familia. Nimewahi msikia mtu mmoja akimwambia mwanamke aliye olewa na kijana aliyewahi soma shule za seminari kuwa amshikilie sana, sasa sikuelewa. Hivi hawa vijana wanasifa zipi hasa...?