Wanaume wakwel wapo jamani

Wanaume wakwel wapo jamani

agsam878

Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
22
Reaction score
10
Mm nimetendwa miaka miwil iliopita had leo cjatamani kupenda tena nauliza hivi wanaume wako aumabibi zetu ndo walifaidi kama yuko mkwel namuhitaji me mkristo.umbo la kimisi miaka 24.my email agsam878@gmail.com
 
wapo japo mmoja mmoja sana kila la kheri agsam878.
 
Last edited by a moderator:
utuletee feedback ukifanikiwa.
 
Miaka 24 unalalamika umetendwa!!! ukifika miaka 35 si ndio unaweza kujinyonga kabisa...

Tatizo visichana vya miaka hii mnapenda sana kujirahisisha wakati fikra zenu bado hazijakomaa...
 
Wanawake divorced hapana maana huwa wanalalamika sana.Hawa wanaweza wakakatisha shughuli ikiwa katikati ya gemu wakaanza malalamiko...ooh hivi unanipenda kweli au unanichezea tu!! mara ooh nimetendwa sana jaman..yan kwa kifupi ni full malalamiko kwao!!! me I don want yooooo labda bikra nimuanzishe mm najua hakutakuwa na vistress vya hapa na pale...In short we are not the stress remover wooooo.....
 
Kwa style hii utatendwa sana tu,kuwa makini.
Btw wanaume wakweli wapo kuwa na subira tu.
 
Sasa huyo wa ukweli unataka wakufanyaje? Kuoa au akuridhishe kuwa yeye ni wa ukweli? Wa ukweli ni huyo aliekutenda hadi ukakaa miaka 2 jichunguze sana bi dada.
 
Jamaniiii!!!!!hii style sijui kama utafanikiwa

You better tell your fellow lady woooooo...we are here to enjoy and not to remove others stress...Infact those girls who have been stressed here and there they disturb very much on the bed wooo!! have you heared oga!!
 
Miaka 24 unalalamika umetendwa!!! ukifika miaka 35 si ndio unaweza kujinyonga kabisa...

Tatizo visichana vya miaka hii mnapenda sana kujirahisisha wakati fikra zenu bado hazijakomaa...

Hivi baba upo? naona umenisahau kabisa wewe na mama
 
Kwa style hii utatendwa sana tu,kuwa makini.
Btw wanaume wakweli wapo kuwa na subira tu.
Tupo bwana usimkatishe tamaa ila sijajua anataka wakweli au waaminifu kama ni ukweli tu asipate shida
 
Back
Top Bottom