Wanaume wakwel wapo jamani

Wanaume wakwel wapo jamani

wanaume wakweli hakuna, bora tu ujifunze kuukubali uongo wao.
 
Mm nimetendwa miaka miwil iliopita had leo cjatamani kupenda tena nauliza hivi wanaume wako aumabibi zetu ndo walifaidi kama yuko mkwel namuhitaji me mkristo.umbo la kimisi miaka 24.my email agsam878@gmail.com

Tupo mbona hatA mimi nilikua najiuliza wanawake waaminifu wapo?
 
Tupo sana ila mimi nilishaoa,nadhani swali lako lingehusu wachumba wa ukweli,kilio si cha mabinti tu bali na wavulana wapo wanaouliza wasichana wa ukweli wapo? ikitokea wakawepo wawili wa ukweli yaani msichana na mvulana kuna siku Mungu atawakutanisha.Kama ni magumashi nao wanakutana maana kawaida ya Mungu ni kukupa wa kufanana naye.
 
Back
Top Bottom