Wanaume wakwel wapo jamani

Wanaume wakwel wapo jamani

Mm nimetendwa miaka miwil iliopita had leo cjatamani kupenda tena nauliza hivi wanaume wako aumabibi zetu ndo walifaidi kama yuko mkwel namuhitaji me mkristo.umbo la kimisi miaka 24.my email agsam878@gmail.com
Wa ukweli tupo sana ni wewe tu,tatzo uliyekuwa naye hata ukimkuta na mwanamke mwingine alisema ni dada yake sie wengine hatujui kuongopa kwakweli
 
Tupo bwana usimkatishe tamaa ila sijajua anataka wakweli au waaminifu kama ni ukweli tu asipate shida

Sijamkatisha tamaa Daudi1,nimemwambia wakweli mpo ila awe na subira.
 
Last edited by a moderator:
"Those that go searching for love, only manifest their own lovelessness. And the loveless never find love, only the loving find love. And they never have to seek for it." – H. Lawrence
 
Kwani wewe ni mwanamke mkweli? Kama wewe ni mkweli basi nitumie Pm mengine tutajuana huko huko.
 
Tatizo lenu nyinyi madada wivu ndo unaowaponza zaidi. Kwa kiasi mmekuwasource ktk kuvulunda mahusiano na mwisho wa siku mnaishia kulalama tu! Ooh nimetendwa sihitaji tena mwanaume!!?
mtaishia ivoivo.! Jiongezeni
 
ungeweka bandiko la kutafuta mchumba
Ndo kaliweka kiaina si unaona katupia na ka email kake,kama alikuwa anahitaji kujua kama wanaume wakweli wapo angesikiliza wadau wanasemaje naona anataka kuprove mwenyewe
 
Hata huyo aliyekupiga chini ni mkweli. Mkweli sio lazima akubaliane na matakwa yako.
 
Hamna shost waaminifu wengi wao ni manyang'au! Kaa chonjoo! Itakula kwako

tena kwa stail yake ii,mmh ndo watakukomesha coz wanajua udhaifu wako.mi nakushaur utulie kwanza,atakuja tu pole pole,
 
Wanajamvi hakuna m2 hapooo! Hebu kwanza atuoneshe wanawake waukweli. Maada kama midume ya ukweli 2po wengi sana,mi mmoja wapo.
 
Back
Top Bottom