kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,975
- 3,824
hah hah hah....we lara1 uanavyopenda revenge leo kwa mara ya kwanza unaomba "mazungumzo" yachukue nafasiAkafie mbele wapi na ushahidi anao!!!!!!!!! Bora ingekuwa hakuna, angemruka futi mia 700 usawa wa bahari!!!!! Mi bank slip ina jina lake!!!!!!! Aibu hiziiiii, nyie acheni tuuu!
Natamani kujitapisha vitu vyote vya bure nilivokula!!!!!!!