Wanaume Wajikomboa na Uzombiii/Ubwenyenye; Wanawake Fungeni Mikanda!

Weweeeeeeeee!!!!! Achana na Wanawake! Moyo kitu cha ajabu sanaaaaa! Kila shetani na mbuyu wake. wako bado hujaupata.

Adamu tunda kala mwenyew bila ubishi, chezea vitu vya Eva!

Samson na kipaji toka kwa mola cha miguvu ila kwa Delila alikuwa mdogooo kama piriton.

Ceaser na ukatili wote, na expansion ya roman empire ila kwa Cleopatra nyanganyanga

Mfalme Ahasuelo wa Shushani Ngomeni aliyeyuka mwenyewe mbele ya toto la kiyahudi Ester wa ukwee, hadi neno la Armani likamezwa!!!!

Jemedari wa jeshi, kwisha kazi yake kwa Rahabu!

Itakuwa wewe Mkata Kiu!!!!!!! Achana na mwanamke kabisaaaa!

Ha ha ha naomba na list ya wanawake waliozidiwa ujanja na wanaume tulinganishe upande upi ni wengi!!!!

Men are always smart than you ladies in a love game.. Even if we loose home games we know how to beat you away and go through... By ray allen in a movie He got game..
 
Hahahahah Lisa mwambie....baelezeeee
hahahahaaha! wa mauwa, ila Lara kama kweli unampenda huyo mwanaume , na unataka awe husband wako mnyenyekee , kwani huwezi hata kupritend??? jidai unambembeleza na kuongea naye kwa upole, ila ukiwa unaongea sana kumshinda hatoweza kukuoa maana atakuwa anakuogopa.
 
Last edited by a moderator:
Wapiiii hao mnaowazidi bado makinda hawajakutana na makungwi wa mujini chezeya malovee ww
Ha ha ha naomba na list ya wanawake waliozidiwa ujanja na wanaume tulinganishe upande upi ni wengi!!!!

Men are always smart than you ladies in a love game.. Even if we loose home games we know how to beat you away and go through... By ray allen in a movie He got game..
 
Ha ha ha naomba na list ya wanawake waliozidiwa ujanja na wanaume tulinganishe upande upi ni wengi!!!!

Men are always smart than you ladies in a love game.. Even if we loose home games we know how to beat you away and go through... By ray allen in a movie He got game..

There are women n Ladies!!!!!!!! Mwanaume kuwa na women wengi na kuwa play si jambo gumu wala lakujatapa!!!! The iisue ni kuwa na Ladies!!!!!!!!! A lady bana ukimla hata mmoja ujue wewe mkali, coz waiting period si chini ya 3 months, acha good behaviour utakayoitoa!

Na ukitaka kufuga mizombii mingi jst drop the attitude, and act like a lady!!!!!!!! Basi weeeeeee! Hapo umewafikisha! Ndo maana mimi mswahili wa Kino sichi kujifunza Lady behaviour toka kwa watu wanaodondoka kutoka majuu.

Lady attitude can take you places you never dreamed!!!!!!!!
 
Wapiiii hao mnaowazidi bado makinda hawajakutana na makungwi wa mujini chezeya malovee ww

Baeleze baelewe!!!!!!!!

Hajakutana na watoto wa Mujini, I got them certificates, I got a six figure job, I have a cute face, I have the booty too, I am super religious, I can control ma attitude, I am exposed, Not to mention how civilized i am! In short I GOT ALL THE PACKAGE!!!!!!

Hapo unijie hujajipanga NAKUFURUMUSHAJE!!!!!!!!!! Mwanamke akijipanga analiwa na waliojipanga wenzie!!!!!! Kama Mwamvita Marope!!!!!! Simpimiii!!!!!!!!
 
Hahahahah MKATA KIU njoo usome majibu hapa we waopoa vitoto vya uswaz afu wajisifia tafuta ladies uone moto wake ....

Naona unakuja upande wangu,, that's why nikasema hakuna zali la mentali kijinga jinga... Mwanamke hata hela ya ada hana wazaz wake na ndugu zake wanashindwa kumlipia akufanye zombiii si ulimbukeni huo... Nikasema ndege wafananao ndo huruka pamoja ndo maana David Beckham akamuoa Victoria Adam sio kama alikuwa haoni warembo wengine wazuri kumzidi hapana ni vigezo vimehusika,,,, kama una vigezo hivyo utapata wa vigezo hivyo mwenzako but kama hata school fees ya shule za bongo huna Kumfanya Zombi mwanaume aliye exposed to the world ni ngumu sana labda kama alitembea kwa trips za vikundi vya ngoma...

Mwanamke lazima awe na sifa za ziada za kukufanya **** na haiji kirahis rahis,,, sasa wewe school fees shida hadi nikulipie, pocket money unaunga unga.. Kumfanya mtu zombiiii thubutuuuuu... Utamegwa na kuongwa as huna guts za kukutetea as njaa mbaya..

But mtu kama mwamvita na wengineo unaowasema wana guts za kuwatetea as familia bora
 
Uzuri wa jamii forums hatufahamiani so ongea chochote madam.. But ukweli naujua moyoni... Sitaki kukumbuka my past as mwenyewe najisikia vibaya mpaka nahisi kwenye ndoa yangu nitapata malipizo ama kwa binti yangu as what goes around, comes around,, to be honest naogopa hadi kutongoza mdada mstaarabu sana as I am not a good boy through looking my past.. So sitaki kuongeza hurted souls... Ila naimani nikiseto mind na kuamua nataka relationship serious siwez kumkosa mtu kwa vigezo labda kwa other factors lakini sio vigezo vyenu vya kisasa vya mnaojiita ladies
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa zangu Shikamooni!!!!!!!!!

Peopleeeeeeeeeeeess!!!!!!!!! I realy miss you!!!!!!!!

Ile tabia yetu sugu ya kufuga Mizombii/Mibwenyenye tulioigeuza kwaida na kujicomvice its Acceptable, well its not acceptable at all!!!!!!!

Tabia hii ina degree mbalimbali kuanzia msingi ambapo Binti unajua kabisa kuwa flani HE AINT GONNA GET ANY frm you coz YOU AINT GONNA GIVE HIM ANY SHIT EVER!!! Ila bado akikupa vitu vyake wala na kusaza. Tena wajifanya mpana kama meza za casino kwa kujigamba "Kwani nimemuomba? Sikanipa mwenyewe!!!!!! Chakuokota si cha kuiba mwenye mali ni mjing----"

Sekondari tabia ndo inaota mizizi husubiri upewe bali WAAGIZIA!!!!!! "Baby(Siku hiyo ya shida tu) nina shida sanaaa, nisaidie japo laki now! now! nitakueleza zaidi jioni" ndo nitolee mpaka shida nyingine.

Degree tabia ndo suguu zaidi ya Mr 2 hungoji zombii likufate, YOU GO FISHING FOR THEM!!!! Ukiona mtu katoa jicho tu, unaanza kuflirt nae, akiingia laini Unajitangaza Bikra, Basi anakaa kungoja kukata utepe maishaaaa!!!!!!

Sasa kuna mwana kino, wakuja flani hivi ambae aliamua KUJASIRIA MWILI ili atoke kimaisha! Sasa sekondari akakutana na watoto wa kino wakamfungua macho Ukihitaji favours you dont have to give them any mbonaaa! We onesha kama una nia bt ya not so sure!!! Utakula kula akighairi wavuta mwingine! Bi dada ndo akapata mtaji!!!!

Kati hapo alikwama kimaisha sasa akshauriwa Arusha there are lots of Opportunities!!!!
Wakamwambia nenda Rchugga/Arusha watu wanatoka sana kimaisha kule, si umeona flani na falni wametoka? Akaniambia kweli banaa! Basi akaunganishwa kazi ya tours akatimba A Town Baby!!!!! Mungu si Lara 1, akampata Mchagga mmoja mwenye maduka yake, si akataka kuleta mambo zake za Kino!!!!!!! Akampiga changa la macho la Sealed/Bikra, Aisee Mchagga akadata! Akaahidi kumuoa, si kamsomesha IAA, pale mpaka kamaliza, The guy was respecting her jamani as a WIFE TO BE!!!!!!! Pesa yoyote akitaka anapata. Basi bi dada baada ya kuvuna na kushiba, kamtoroka mchagga kisirisiri karejea kino, Ujio wake haukuwa wa Verse Mojaaa!!!!!!

Huo ulikuwa mwezi wa nane, tumekaa hadi huu mwezi wakumi kimyaa, tukajua she dogged the bullet! Juzi katolewa Mahari na The One wake, watu tuko kwenye vikao saa hizi. Sasa juzi jpili Mchagga katinga Kinno kwao!!! Kakaa ndani anaambiwa kuna mgeni wako, kutoka Mchagga huyu hapa! Si ndo chupi kumbana! Mchagga kaweka kikao anataka atoe mahari, hasikii la mhazini wala mnadi swala!!!!!!!

Akaambiwa mahari ishatolewa babu weee! Mchagga akasema haina shidaa si ndo Kutoa Faili la RECEIPS na Bank slip!!!!!!! ADAI ALIPWE GHARAMA ZAKE!!!!!!!! Kumbe Ada, hela alizokuwa anamwekea bank, receipts za supermarket shopping, maduka ya nguo zote katunzaaaaaaaa Mchagga yule!!!!!! Wachagga nimewavulia kofia!!!!!! Mama mtu kukomaa Bwana huyu si alikufidiaaa IN KIND kwa hizo huduma mda wote mliokuwa wote!!!!!!!!! Mchagga akadai akuuuuuu! Mi nilijua UNUSED ndo nikawa natunza nile nikioa!!!!! Nachotaka ni hiyo GHARAMA NIRUDISHIWE!!!!! Baaaaas!!

Gharama yenyewe ada ya miaka mitatu zaidi ya 4,000,000, Matumizi zaidi ya 10,000,000 (200,000-300,000/month), shopping ndo usisemeee!!!!! Deni zaidi ya 20,000,000/= Bila VAT! LOL! The One mwenye mchovu tu anafanya bank hiyo hela haweizi kuipata. Mchagga kadai ANABLOCK HARUSI KANISANI NA MAHAKAMANI!!!!!!

MKILA VYA WATU MJIULIZE MKIDAIWA MTAWEZA KUVILIPA!!!!!!!! Mimi Ufugaji wa Mizombii nimestaafu RASMI!!!!!!!

mali bila daftari...?
 
Kweli ujanja mfukoni, kukubali kuolewa nae ni ngumu hujui atamsamehe au atalipiza kisasi wakiwa wote? au akubali kulipa, je muoaji atakubali kulipa yt hayo? Kweli lara moja umetoa shule ya nguvu kwa wenye kuona mbali lkn wanaodhani yapo A town pekee watajua kukuta hata chalinze yanapatikana yakuwafika.
 
Naona unakuja upande wangu,, that's why nikasema hakuna zali la mentali kijinga jinga... Mwanamke hata hela ya ada hana wazaz wake na ndugu zake wanashindwa kumlipia akufanye zombiii si ulimbukeni huo... Nikasema ndege wafananao ndo huruka pamoja ndo maana David Beckham akamuoa Victoria Adam sio kama alikuwa haoni warembo wengine wazuri kumzidi hapana ni vigezo vimehusika,,,, kama una vigezo hivyo utapata wa vigezo hivyo mwenzako but kama hata school fees ya shule za bongo huna Kumfanya Zombi mwanaume aliye exposed to the world ni ngumu sana labda kama alitembea kwa trips za vikundi vya ngoma...

Mwanamke lazima awe na sifa za ziada za kukufanya **** na haiji kirahis rahis,,, sasa wewe school fees shida hadi nikulipie, pocket money unaunga unga.. Kumfanya mtu zombiiii thubutuuuuu... Utamegwa na kuongwa as huna guts za kukutetea as njaa mbaya..

But mtu kama mwamvita na wengineo unaowasema wana guts za kuwatetea as familia bora

Weweeeeee! Huyo dada mzuri kweli, usipimie toto ya KIRAQ!!!!!!!! nywele kama point 5, jeupeee! Mwenyewe ungeingia line.
 
Naona unakuja upande wangu,, that's why nikasema hakuna zali la mentali kijinga jinga... Mwanamke hata hela ya ada hana wazaz wake na ndugu zake wanashindwa kumlipia akufanye zombiii si ulimbukeni huo... Nikasema ndege wafananao ndo huruka pamoja ndo maana David Beckham akamuoa Victoria Adam sio kama alikuwa haoni warembo wengine wazuri kumzidi hapana ni vigezo vimehusika,,,, kama una vigezo hivyo utapata wa vigezo hivyo mwenzako but kama hata school fees ya shule za bongo huna Kumfanya Zombi mwanaume aliye exposed to the world ni ngumu sana labda kama alitembea kwa trips za vikundi vya ngoma...

Mwanamke lazima awe na sifa za ziada za kukufanya **** na haiji kirahis rahis,,, sasa wewe school fees shida hadi nikulipie, pocket money unaunga unga.. Kumfanya mtu zombiiii thubutuuuuu... Utamegwa na kuongwa as huna guts za kukutetea as njaa mbaya..

But mtu kama mwamvita na wengineo unaowasema wana guts za kuwatetea as familia bora

Nakubaliana na wewe MKATA KIU. Wnaume wa kulipa school fee bila kumega kwa sasa hawapo. labda awe fresh from the village na ana hela ya mchezo.
ebu jiulize. kwanini alipie school fee na matunzo ya gharama wakati anaweza pata mwanamke toka familia bora (ready made lol).
Kuna wadada wengi hapa mjini, they have it all na wanatafuta wanaume wa kuwaoa.
kwa muono wangu, life is so easy for men these days.
 
Last edited by a moderator:
aisee cjawah kuona mawanaume **** km huyo!
Muda wote unahudumia tu!khaaa,god forbid!
 
Nakubaliana na wewe MKATA KIU. Wnaume wa kulipa school fee bila kumega kwa sasa hawapo. labda awe fresh from the village na ana hela ya mchezo.
ebu jiulize. kwanini alipie school fee na matunzo ya gharama wakati anaweza pata mwanamke toka familia bora (ready made lol).
Kuna wadada wengi hapa mjini, they have it all na wanatafuta wanaume wa kuwaoa.
kwa muono wangu, life is so easy for men these days.

Huyo mchagga ana MIDUKA mingi tu ila mwenyewe form 4, Atampata wapi toto zuri la KIIRAQ, lenye maisha bora? Hao maisha bora kwanza mwenyewe uwe na Masters kama 2 hivi ndo uoe kwao kwa raha! Nhizo masters ziendane na exposure na civilization. Shurti uwe unajua kula kwa knife n fork! Plus ujue kuhold a glass of wine like a gentle man! Labda maisha bora afu sura ngumu na skinny As!

Wazuri maisha bora wanagombewa sanaaaaa na maisha bora wenzao! Usipime kabisaa!
 
Kusoma hiyo thread moyo na mwili umeenda mbio kama upo kwenye mashindano ya Langalang (Formula 1).Aisee binti akila hela yote hiyo na akanisaliti na nyumbani kwao wakawa 'mawakili' wake, namwacha, kwa kuwa hela zinatafutwa na kutumiwa MIMI NAKWENDA KWENYE MAHAKAMA ZA JADI; KIMBILIO LA WANYONGE. Huyo binti akiwa zombi itakuwa funzo kwa wengi.
 
Huyo mchagga ana MIDUKA mingi tu ila mwenyewe form 4, Atampata wapi toto zuri la KIIRAQ, lenye maisha bora? Hao maisha bora kwanza mwenyewe uwe na Masters kama 2 hivi ndo uoe kwao kwa raha! Nhizo masters ziendane na exposure na civilization. Shurti uwe unajua kula kwa knife n fork! Plus ujue kuhold a glass of wine like a gentle man! Labda maisha bora afu sura ngumu na skinny As!

Wazuri maisha bora wanagombewa sanaaaaa na maisha bora wenzao! Usipime kabisaa!

mmh mi ninachoona siku hizi wanawake ndio wanagombania wanaume. Ukifuatilia vigezo sana unadoda mjini hapa lol.
 
Wanawake kama sisi tusio na INHERITANCE ndo tunamalizana kungangania wanaume! Wenye INHERITANCE ZAO huwezii kuta wanahaha! We watot wa ma MD wa haya mashirika sio wakali ila wanavogombaniwaaaa!!!!! Ukimtambulisha rafiki yako hakawii kukupindua! Chezeya FUTURE IS GUARANTEED!!!!! Huwezi kuta watoto wa Lowahasa, Rostitamu, Kimeei, Mafuruuu, na wengineo wapo loose!!!!!

Kwenye chama hata COUSIN tu wa hawa watu DILI KUBWAAAA, you will be joining the royal family japo kwa kuvuta na manati!

Wanaume siku hizi nao wanapenda pa nafuuu!
 
Back
Top Bottom