Wanaume Wajikomboa na Uzombiii/Ubwenyenye; Wanawake Fungeni Mikanda!

Akafie mbele wapi na ushahidi anao!!!!!!!!! Bora ingekuwa hakuna, angemruka futi mia 700 usawa wa bahari!!!!! Mi bank slip ina jina lake!!!!!!! Aibu hiziiiii, nyie acheni tuuu!

Natamani kujitapisha vitu vyote vya bure nilivokula!!!!!!!
hah hah hah....we lara1 uanavyopenda revenge leo kwa mara ya kwanza unaomba "mazungumzo" yachukue nafasi
 
Huyo dada wala hana kesi ya kujibu..Si ujinga wake mwenyewe huyo mchaga.....Hakulazimishwa

Dada alitoa ahadi feki kuwa apewe huduma then atakuwa mke!!!!!! Sasa she didnt keep the endof her bargaining part!
 
Lisa asante sana mama.....
Ciello , ni kweli mtupu ni wazuri sana , hata uliwa mkewe utafaidi , kwa sababu kila kitu utapata , watoto wanasoma shule nzu, atatafuta pesa kwa njia zote ili familia yake iishi vizuri katika standard. Lakini kwenye 6 x 6 Mungu hapo hakuwapa kwa kweli.
 
Akafie mbele wapi na ushahidi anao!!!!!!!!! Bora ingekuwa hakuna, angemruka futi mia 700 usawa wa bahari!!!!! Mi bank slip ina jina lake!!!!!!! Aibu hiziiiii, nyie acheni tuuu!

Natamani kujitapisha vitu vyote vya bure nilivokula!!!!!!!

Kwani waliandikishiana kuwa atamlipa?
 
hah hah hah....we lara1 uanavyopenda revenge leo kwa mara ya kwanza unaomba "mazungumzo" yachukue nafasi

We jitu LINA USHAHIDI USIO NA SHAKA YOYOTE! Si mchezo hapo! Hali tete! Lingekuwa halijatunza vidhibiti mbona kazi ndogo tu, unakana hujawahi kumuona maishani mwako! Sasa ukimkana na inaonesha kakuwekea mi hela kwa account si aibu hizo!!!!!!!
 
Ciello , ni kweli mtupu ni wazuri sana , hata uliwa mkewe utafaidi , kwa sababu kila kitu utapata , watoto wanasoma shule nzu, atatafuta pesa kwa njia zote ili familia yake iishi vizuri katika standard. Lakini kwenye 6 x 6 Mungu hapo hakuwapa kwa kweli.

Nyie mmejiachia na wachagga wa kishumundu hao, wachagga wa kkoo walivo maplayer unadhani watakuwa o kweli? Thubutuuuuu! Wapi watoto ------------ wanavonganganiwa kama luba mjini hapa na wadada wa mujini. Mr. Rosegarden nae naona kaamua kumuoa mchagga mwenzie!
 
Haina ushahidi..Huyo dada akimlipa ni ubinadamu tu

Haina ushahidi kivipi mirisiti ya kumwaga na alishatambulishwa kwa wakwe akajibu NDIO mbele za watu, watu wote mahsahidi!!!!!!!!!! Hapo anayo kesi ya kujibu tena grounds za breach of contract/ kujipatia mali kwa udanganyifu!
 
Nyie mmejiachia na wachagga wa kishumundu hao, wachagga wa kkoo walivo maplayer unadhani watakuwa o kweli? Thubutuuuuu! Wapi watoto ------------ wanavonganganiwa kama luba mjini hapa na wadada wa mujini. Mr. Rosegarden nae naona kaamua kumuoa mchagga mwenzie!
Lara basi mm nina bahati nao sana, Maana nimeolewa na wakilema, yaani kila kitu ananihudumia kwa kweli. Wewe huyo wa kwako mbembeleze tu , na wanapenda sana ukiwa chini na mkimya, na ongea naye kwa adabu, utafaidi Lara na utakuja hapa jamvini kunisimulia jinsi unavyofaidi.
 
acheni kuponda hivo nyie ni aje, mmegawa uchi kwa wachaga wote? no offence
 
Lara basi mm nina bahati nao sana, Maana nimeolewa na wakilema, yaani kila kitu ananihudumia kwa kweli. Wewe huyo wa kwako mbembeleze tu , na wanapenda sana ukiwa chini na mkimya, na ongea naye kwa adabu, utafaidi Lara na utakuja hapa jamvini kunisimulia jinsi unavyofaidi.

Wowowowww!!!!!!!! We bibi wewe! Huyo mchagga wa kilema ipi? Hospitali? rua? Lombeta? Maua? Kisangiro? Mimi mama mkwe wangu ni mkilema wa Kisangiro nakomaje sasa kutajiwa hayo maeneo daily!!!! I guess ukoo wao wote naujua!

Mimi sibembelazagi banaaaa, Huyu mmarangu akileta za kuleta tu naita NEXT!!!!!!!!
 
Hivi nyinyi wanaume wa kuwachuna hivyo mnawatoa wapi? Kuonga tunaonga lakini sio kizembe zembe.. That's y I promise my self mwanangu lazima akasome down town na nihakikishe anasafiri safiri overseas wakati mdogo mdogo ili kichwa kichangamke mapema...

Mnaonea sana mazoba... Wahuni huwa hawaongi kizembe zembe japokuwa uta enjoy outgoing na vizawad vya kiaina wakati na wewe unamegwa vile vile... Mtoto wa down town primary posta,,na ashafanya sana utapeli na kutembea tembea kuiona dunia mapema hawezi kukubali kufanywa Zombiiii hata iweje.. Mapenzi ni mutual benefits that's why Beckham akamuoa victoria,, ukiwa na njaa na omba omba sana utaolewa na mwenye njaa mwenzako. Ukiwa mchapakazi na unajituma utaolewa na mchapakazi mwenzako hakuna zali la mentali kijinga jinga.. Mambo ya love unanyonywa upande mmoja hakunaga nowdays.. Labda kwa wajinga wajinga
 
hahahahaaha! wa mauwa, ila Lara kama kweli unampenda huyo mwanaume , na unataka awe husband wako mnyenyekee , kwani huwezi hata kupritend??? jidai unambembeleza na kuongea naye kwa upole, ila ukiwa unaongea sana kumshinda hatoweza kukuoa maana atakuwa anakuogopa.
 
Hivi nyinyi wanaume wa kuwachuna hivyo mnawatoa wapi? Kuonga tunaonga lakini sio kizembe zembe.. That's y I promise my self mwanangu lazima akasome down town na nihakikishe anasafiri safiri overseas wakati mdogo mdogo ili kichwa kichangamke mapema...

Mnaonea sana mazoba... Wahuni huwa hawaongi kizembe zembe japokuwa uta enjoy outgoing na vizawad vya kiaina wakati na wewe unamegwa vile vile... Mtoto wa down town primary posta,,na ashafanya sana utapeli na kutembea tembea kuiona dunia mapema hawezi kukubali kufanywa Zombiiii hata iweje.. Mapenzi ni mutual benefits that's why Beckham akamuoa victoria,, ukiwa na njaa na omba omba sana utaolewa na mwenye njaa mwenzako. Ukiwa mchapakazi na unajituma utaolewa na mchapakazi mwenzako hakuna zali la mentali kijinga jinga.. Mambo ya love unanyonywa upande mmoja hakunaga nowdays.. Labda kwa wajinga wajinga

Weweeeeeeeee!!!!! Achana na Wanawake! Moyo kitu cha ajabu sanaaaaa! Kila shetani na mbuyu wake. wako bado hujaupata.

Adamu tunda kala mwenyew bila ubishi, chezea vitu vya Eva!

Samson na kipaji toka kwa mola cha miguvu ila kwa Delila alikuwa mdogooo kama piriton.

Ceaser na ukatili wote, na expansion ya roman empire ila kwa Cleopatra nyanganyanga

Mfalme Ahasuelo wa Shushani Ngomeni aliyeyuka mwenyewe mbele ya toto la kiyahudi Ester wa ukwee, hadi neno la Armani likamezwa!!!!

Jemedari wa jeshi, kwisha kazi yake kwa Rahabu!

Itakuwa wewe Mkata Kiu!!!!!!! Achana na mwanamke kabisaaaa!
 
Ivi we Lara1 utajakuwa wife material kweli?
Au ndo yle msukule wa miami?

Thata so personal!!!!!!!!! Damn!

Mwenyewe sina uhakika kwa kweli bado najishauri!!!!!!

Maisha duara may be huko mbele hali ikibidi naolewa tu, sasa ntafanyaje! Ila for now mambo ya kuolewa na kuteseka kuliko nilivoishi na Mamushka Lara 1, au navoishi mwenyewe aiseee I GUESS ILL PASS, Kuolewa ilikuwa dili zamani siku hizi kutimiza wajibu tu!
 
Back
Top Bottom