Wanaume Wajikomboa na Uzombiii/Ubwenyenye; Wanawake Fungeni Mikanda!


lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Wakubwa zangu Shikamooni!!!!!!!!!

Peopleeeeeeeeeeeess!!!!!!!!! I realy miss you!!!!!!!!

Ile tabia yetu sugu ya kufuga Mizombii/Mibwenyenye tulioigeuza kwaida na kujicomvice its Acceptable, well its not acceptable at all!!!!!!!

Tabia hii ina degree mbalimbali kuanzia msingi ambapo Binti unajua kabisa kuwa flani HE AINT GONNA GET ANY frm you coz YOU AINT GONNA GIVE HIM ANY SHIT EVER!!! Ila bado akikupa vitu vyake wala na kusaza. Tena wajifanya mpana kama meza za casino kwa kujigamba "Kwani nimemuomba? Sikanipa mwenyewe!!!!!! Chakuokota si cha kuiba mwenye mali ni mjing----"

Sekondari tabia ndo inaota mizizi husubiri upewe bali WAAGIZIA!!!!!! "Baby(Siku hiyo ya shida tu) nina shida sanaaa, nisaidie japo laki now! now! nitakueleza zaidi jioni" ndo nitolee mpaka shida nyingine.

Degree tabia ndo suguu zaidi ya Mr 2 hungoji zombii likufate, YOU GO FISHING FOR THEM!!!! Ukiona mtu katoa jicho tu, unaanza kuflirt nae, akiingia laini Unajitangaza Bikra, Basi anakaa kungoja kukata utepe maishaaaa!!!!!!

Sasa kuna mwana kino, wakuja flani hivi ambae aliamua KUJASIRIA MWILI ili atoke kimaisha! Sasa sekondari akakutana na watoto wa kino wakamfungua macho Ukihitaji favours you dont have to give them any mbonaaa! We onesha kama una nia bt ya not so sure!!! Utakula kula akighairi wavuta mwingine! Bi dada ndo akapata mtaji!!!!

Kati hapo alikwama kimaisha sasa akshauriwa Arusha there are lots of Opportunities!!!!
Wakamwambia nenda Rchugga/Arusha watu wanatoka sana kimaisha kule, si umeona flani na falni wametoka? Akaniambia kweli banaa! Basi akaunganishwa kazi ya tours akatimba A Town Baby!!!!! Mungu si Lara 1, akampata Mchagga mmoja mwenye maduka yake, si akataka kuleta mambo zake za Kino!!!!!!! Akampiga changa la macho la Sealed/Bikra, Aisee Mchagga akadata! Akaahidi kumuoa, si kamsomesha IAA, pale mpaka kamaliza, The guy was respecting her jamani as a WIFE TO BE!!!!!!! Pesa yoyote akitaka anapata. Basi bi dada baada ya kuvuna na kushiba, kamtoroka mchagga kisirisiri karejea kino, Ujio wake haukuwa wa Verse Mojaaa!!!!!!

Huo ulikuwa mwezi wa nane, tumekaa hadi huu mwezi wakumi kimyaa, tukajua she dogged the bullet! Juzi katolewa Mahari na The One wake, watu tuko kwenye vikao saa hizi. Sasa juzi jpili Mchagga katinga Kinno kwao!!! Kakaa ndani anaambiwa kuna mgeni wako, kutoka Mchagga huyu hapa! Si ndo chupi kumbana! Mchagga kaweka kikao anataka atoe mahari, hasikii la mhazini wala mnadi swala!!!!!!!

Akaambiwa mahari ishatolewa babu weee! Mchagga akasema haina shidaa si ndo Kutoa Faili la RECEIPS na Bank slip!!!!!!! ADAI ALIPWE GHARAMA ZAKE!!!!!!!! Kumbe Ada, hela alizokuwa anamwekea bank, receipts za supermarket shopping, maduka ya nguo zote katunzaaaaaaaa Mchagga yule!!!!!! Wachagga nimewavulia kofia!!!!!! Mama mtu kukomaa Bwana huyu si alikufidiaaa IN KIND kwa hizo huduma mda wote mliokuwa wote!!!!!!!!! Mchagga akadai akuuuuuu! Mi nilijua UNUSED ndo nikawa natunza nile nikioa!!!!! Nachotaka ni hiyo GHARAMA NIRUDISHIWE!!!!! Baaaaas!!

Gharama yenyewe ada ya miaka mitatu zaidi ya 4,000,000, Matumizi zaidi ya 10,000,000 (200,000-300,000/month), shopping ndo usisemeee!!!!! Deni zaidi ya 20,000,000/= Bila VAT! LOL! The One mwenye mchovu tu anafanya bank hiyo hela haweizi kuipata. Mchagga kadai ANABLOCK HARUSI KANISANI NA MAHAKAMANI!!!!!!

MKILA VYA WATU MJIULIZE MKIDAIWA MTAWEZA KUVILIPA!!!!!!!! Mimi Ufugaji wa Mizombii nimestaafu RASMI!!!!!!!
 
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 0
hahahahahahah wachaga kwa kuhonga ndo wenyewe lol ila mambo flani sifuri, binti alikosea kumwonyesha homu analo hilo limemganda..................hahahahahahahah
 
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2008
Messages
25,171
Points
2,000
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2008
25,171 2,000
Tehe tehe tehe....haya kukopa arusi kulipa matanga....
 
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2008
Messages
25,171
Points
2,000
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2008
25,171 2,000
hahahahahahah wachaga kwa kuhonga ndo wenyewe lol ila mambo flani sifuri, binti alikosea kumwonyesha homu analo hilo limemganda..................hahahahahahahah
Mmmmh Ciello umekremishwa?
 
Last edited by a moderator:
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
hahahahahahah wachaga kwa kuhonga ndo wenyewe lol ila mambo flani sifuri, binti alikosea kumwonyesha homu analo hilo limemganda..................hahahahahahahah
Wala hajamuoneshaa, sema mchagga kapeleleza mpaka kampata!!!!! LOL! Chezea MBESAAA aliyomlia!!! Ye alijua mchagga SHMUCK atalia lia, na kusikitika afu design flani atasamehee na kuoa mtu mwengine!!!!!!!! Thubutuuuuuuuuu!!!! HELA YA MCHAGGA HAILALI NJE!!!!!!

Ngoja nianze kulisaka FAILI LANGU la matumizi kwa huyu mchagga, manake hawaaminiki! Ukute namcheka mwenzangu kumbe langu DENI linakaribia la EPA na hivi sina hata mia bank! Nitajambaje sasa!!!! Bora niharibu ushahidi baaaaaass!!!!!!
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,793
Points
2,000
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,793 2,000
Kongoshoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo :whistle::whistle::whistle:
 
Last edited by a moderator:
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,073
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,073 1,500
nimelifungua, liko linaweweseka tu

Kongoshoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo :whistle::whistle::whistle:
 
Last edited by a moderator:
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Huyo mchaga akafie mbele.
Akafie mbele wapi na ushahidi anao!!!!!!!!! Bora ingekuwa hakuna, angemruka futi mia 700 usawa wa bahari!!!!! Mi bank slip ina jina lake!!!!!!! Aibu hiziiiii, nyie acheni tuuu!

Natamani kujitapisha vitu vyote vya bure nilivokula!!!!!!!
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,793
Points
2,000
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,793 2,000
nimelifungua, liko linaweweseka tu
ahahahahhahhahha eti linaweweseka!we ndo unaweweseka!sa si bora hili zombie la jirani yake lara 1 linadai pesa!..........lako linadai NDOA! m.......a.....a....nina................. lazima uweke shingo pembeni!
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,793
Points
2,000
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,793 2,000
hahahahahahah wachaga kwa kuhonga ndo wenyewe lol ila mambo flani sifuri, binti alikosea kumwonyesha homu analo hilo limemganda..................hahahahahahahah
mamduchu katika siku ulizoniudhi ni leo!
ulishat....wa na wachaga wangapi?
pole!huwaga mamito anakasirika siku nyingine!
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
hahahahahahah wachaga kwa kuhonga ndo wenyewe lol ila mambo flani sifuri, binti alikosea kumwonyesha homu analo hilo limemganda..................hahahahahahahah
Hao wachagga wa shamba!!!!!!!Hawa Wa Kariakooo NOMAAAAAAAAAA!!!!!!! Usiwajaribu! Zaidi ya wazaramo
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,073
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,073 1,500
he he he, ukinuna tuma salamu.

Ziwafikie wote wa rombo juu.

mamduchu katika siku ulizoniudhi ni leo!
ulishat....wa na wachaga wangapi?
pole!huwaga mamito anakasirika siku nyingine!
 
Anita Baby

Anita Baby

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Messages
1,270
Points
1,500
Anita Baby

Anita Baby

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2011
1,270 1,500
Wala hajamuoneshaa, sema mchagga kapeleleza mpaka kampata!!!!! LOL! Chezea MBESAAA aliyomlia!!! Ye alijua mchagga SHMUCK atalia lia, na kusikitika afu design flani atasamehee na kuoa mtu mwengine!!!!!!!! Thubutuuuuuuuuu!!!! HELA YA MCHAGGA HAILALI NJE!!!!!!

Ngoja nianze kulisaka FAILI LANGU la matumizi kwa huyu mchagga, manake hawaaminiki! Ukute namcheka mwenzangu kumbe langu DENI linakaribia la EPA na hivi sina hata mia bank! Nitajambaje sasa!!!! Bora niharibu ushahidi baaaaaass!!!!!!
hahaaaaaa... Unalo shost.
 
nilkarish

nilkarish

Member
Joined
Mar 3, 2012
Messages
63
Points
0
nilkarish

nilkarish

Member
Joined Mar 3, 2012
63 0
lara 1 bana vistori vyako unavotiririka huwa vinanifurahisha sna,, thnx dia...
pole kw shosti wako, michango ya harusi amlipe mchaga tu
 

Forum statistics

Threads 1,294,754
Members 498,027
Posts 31,187,142
Top