Kindness_cu
Member
- Dec 29, 2022
- 96
- 151
- Thread starter
- #161
Atukatai lakini kuweni wakweli kama mnapita au vipi sio unapita alfu unamuaminisha mtu upo sanaa unamalengo hapo ndo tunapoumizana aiseee ukweli unauma lakini ndo mzuri kuliko uongo mtamu bora ukweli mchungu mm napenda mtu open then u choose u go with it au vipiKwa mfano sisi wanaume huwa haturidhiki na mwanamke mmoja tusiwadanganye dada zetu
Unaweza ukawa mke wangu au demu wangu na nakuhudumia vizuri lakini lazima nichepuke. Sisi ni watu wa tamaa mwanamke akinivutia nitataka nimgegede
Habari njema ni kwamba sisi wanaume hata tuchepuke upendo wetu unabaki palepale kwa yule tuliyempenda kikweli
upo Dunia ya ngapi Hilo neno halina ukali ukizoea utaona la kawaida zidi kushinda JF.