Wanaume wabaya sana

Wanaume wabaya sana

Pole sana mkuu, ila isije kua karma.. hakuna mtoto wa mtu ushamtenda huko nyuma? labda haya ni malipo, pole ila tafakari pia
 
Ungetoa tarifa kabla ya kwenda...haya yasingetokea
 
Pole sana mkuu, ila isije kua karma.. hakuna mtoto wa mtu ushamtenda huko nyuma? labda haya ni malipo, pole ila tafakari pia
Najua karma is. Bitch but i know fucked any mtoto wa mama mkwe ujawaipitia situation unapenda ila unatemdwa ww tu na
Huoni kosa lako
 
Njoo huku kwenye kachama ketu ka usingo kenye wajumbe wachache dia, njoo tu upumzike kwa amani kwa kweli
Kama ulishawahi penda na unajua nini maana ya mahusiano ya malengo hautabaki katika hiko chama maisha yako yote. Stresses zinakufanya ujifariji but soon you gon' find your life soul mate
 
This kills soo much😭😭

Yes it kills but you are in a position to decide the best option.

Shukuru Mungu umegundua aina ya mtu uliyenae japo Kwa machungu.

Sasa hapo ni uamuzi wako kuamua unapambanaje na hii Hali.

Kama usingewakuta, ungekua unaendelea na furaha Yako hata kama wao wanaendelea na huyo jamaa anagawia nguo zako bibi mwingine.

Namaanisha hili jambo lipo kichwani mwako au kwenye mawazo Yako zaidi. Ukiendelea kulitafakari sana urazidi kutumia, utashindwa kula, utashindwa kufanya mambo Yako Kwa utulivu, utapata maradhi usiyokua nayo.

Hapo unamaamuzi mengi ila ya awali ni kuamua unaendelea nae au unarudisha mpira Kwa kipa.
 
I know karma so sijawai mkataa anaenioenda kwanza napenda zaidi nipendwe nideke 🤣kiforce we kuweza
Mapenzi yatawatesa sana kwa sababu mko kuangalia maisha ya mwanamume je, anajiweza?

Na sisi wanaume tukiwa na vihela huwa hatuachi mbususu na tutakuigizia tunakupenda na vizinga utanipiga ila kuna mmoja ambaye tunakuwa tunamwelewa wa kufanya naye maisha

Sasa inategemea wewe uko wapi kati ya hao wawili
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Na imagine jinsi ulienda mtembelea bila kumtaarifu
 
Alaaaaaaaah nikadhani ulikuta amefanya mauaji kumbe vitu vyenyewe vidogo hivyo, hapo jinsi zote Wana ubaya hivyo ni kawaida tuu, ukiona nongwa Sana endelea mbele na maisha yako
 
Hellow lovers,

Wanaume wabaya sana sana vuta picha mtu unampenda sana unaenda kumtembelea una mkuta na mwanamke amevaa khanga yako na tishet yako ambayo ulimpelekea mpenzi kama zawadi.
Hapo ni ufaindiaji shirikishi wa zawadi uliopewa na mwenza wako kama ukumbusho!
 
Back
Top Bottom